kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Walio wa mlengo fulani kisiasa, ndio wanaokumbatia Corona maana wanaitumia kufanikisha agenda yao. Sasa wanafuata upepo tu

    Katika dunia hii kuna watu wameikumbatia sana corona na wanaitumia kufanikisha malengo yao!! Kwa bahati mbaya sana kuna mataifa mengi hasa ya kiafrika yanayocheza ngoma wasiyoielewa! Hawajui malengo ya wanaoipiga!! Kuna watu wanafurahia sana kuona mahali fulani maambukizi yameongezeka na wako...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais, kivutio kikuu cha Wawejezaji Duniani ni utawala unaotabirika kisiasa na kisheria

    Naomba kumshauri Rais kwamba kwa mtazamo wangu Ni vigumu kupata wawekezaji walio serious kuja kuwekeza nchini kwa sababu nchi yetu haina mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba. Haki Tanzania inapatikana kwa utashi wa Rais na si kwa kuzingatia misingi ya kisheria. Ni kweli anaweza anaweza kuvutia...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa msitufanye wajinga kuhusu mikutano ya kisiasa

    Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia. Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa? Tunataka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Corona na kusuasua kwa uchumi ndio kikwazo cha kuruhusu mikutano ya kisiasa, CHADEMA kuweni waelewa

    Kwa sasa mkazo unawekwa katika kudhibiti wimbi la tatu la covid 19 pamoja na kuimarisha hali ya uchumi wetu ikiwemo kuwarejesha wawekezaji waliotukimbia. Kuruhusu mikutano ya kisiasa na ile ya Katiba Mpya kutarudisha nyuma jitihada hizi kwani Tanzania siyo kisiwa. Rais Samia yuko sahihi...
  5. JamiiForums Tanzania Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

    Ivi hapa mama Samia kapotea. Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa? Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee? Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa kwa miongo 3, hili la mfumo wa uajiri kisiasa limezidi

    Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa na ushawishi kwenye Ajira zote nyeti. Hatimae kwa takriban miongo mitatu sasa athari iko wazi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Najiuliza sijapata jibu, kwanini wana siasa wanao ahidi kadamnasi kuiua CHADEMA wao ndio hufa kisiasa?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi. Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu. Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati...
  9. JamiiForums Tanzania BAKWATA mnaruhusu vipi viongozi wa kisiasa kuongoza Misikiti yenu?

    Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata. Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti. Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
  10. JamiiForums Tanzania 2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

    Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jokate nae yumo?

    Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja. Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia. Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

    Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka. Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu. Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
  14. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

    Aliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021 ======= Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Less government ya Spika Ndugai naiona imekaa kisiasa zaidi, Serikali ndogo kwa sasa hatuiwezi

    Nimeitazama ile video ya Mheshimiwa Job Ndugai inayotembea mtandaoni, anasema serikali ipunguze kuingilia kila kitu. Anatua maneno watu waachwe wajinafasi na sio kila wakipita wanakutana na mkono wa Serikali. Kikatumika kingereza akisema maneno 'Less Government' akimaanisha kupungua kwa uwepo...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

    Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya. Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021 Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo. Pia soma: Mtozi Alloyce...
  19. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je, yapaswa mishahara ya viongozi wetu wa kisiasa kujulikana kwa umma?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…