Kuna dada msomi mwenye career yake, mume na watoto wawili. Wana nyumba nzuri watoto wanasoma shule nzuri. Maisha yake aliyaona yamekamilika. Mpaka siku alipokua na shida na msichana wa kazi.
Alikuja binti alikabithiwa na Mkatekista kanisani. Binti mlugaluga, amevaa yeboyebo, Amesuka...