Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute...