kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiroho vs vita ya kiuchumi

    Wakubwa kati ya hizo vita ipi ni ngumu kuishinda maana namkumbuka kiongozi mmoja kila siku alikuwa akilialia kuhusu vita ya kiuchumi mpaka ikamchukua
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

    Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu. Ukiachana na makafara yanayosemwa kuitaabisha sana nchi. Hapa nazungumzia yale makafara mawili makubwa la Bagamoyo na la Lindi ambayo sasa ni kama uhai wake unafikia tamati. Kuna lile...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya kiroho ndani ya mbingu - je, yalikuwa na pande mbili?

    Inaandikwa kwamba, basi Bwana Mungu akasema. NA TUUMBE MTU kwa mfano wetu. Hapa Bwana Mungu hakuwa pekeyake... Kulikuwa na mamlaka kamili ya kiroho juu mbinguni yaliyokuwa yanaongozwa na Mungu mwenyewe. Tafsiri nyingine ni kwamba tayari huko mbinguni kulikuwa na maisha mengine ya kiroho mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…