Baada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!. Kila nikifungua hili jukwaa ni wanawake na pesa!.
Nikaona isiwe tabu Wacha niwe Albert Einstein kwenye hili!,niketi chini...