kiranga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    Umofia kwenuuu wanabodi! Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
  2. Toosie Slide

    JamiiForums Tanzania ApexTv na Noah

    Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
  3. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Sasa nataka nijifunze Kiingereza cha Kuandika...

    Habarini wadau.... Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza. Ni hivi, Nikisoma kitabu cha...
  4. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Khan : Ifahamu Baraka au Laana iliyo Nyuma ya Jina lako!

    Nachukulia kisa hiki PaleKarne ya Sita Papa Aliyejulikana kwa Jina la Mercurus alipobadili Jina lake na Kujiita Yohana wa II Hii ni baada ya kuaminika Mercurus alikuwa ni Mungu wa Kipagani wa Kiroma! Vivyo Hivyo katika maisha yetu ya kawaida tumeshuhudia mara nyingi watu wakibadili majina yao...
  5. Astronomer The Great

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha Adam

    Shalom na Assalam aleykum Zamani nilivyokuwa na miaka saba nilikuwa nafurahi ninapo sikia mtu ana jina zuri liwe la kizungu au kiarabu au la kikabila bila ya kujua maana ya jina hilo lakini kwa sasa nimegundua uzuri wa jina ni maana haijalishi kama ni kiarabu au kizungu au kikabila Nikikumbuka...
Back
Top Bottom