kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwijaku acha kushika mikono wake za watu unapoendesha kipindi chako

    Wakuu Kwema! Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake za watu anapoendesha kipindi chake yeye na Ndugu Soudy. Hii tabia anaweza akaiona ni yakawaida...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  3. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara kipindi hiki ni kigumu kuliko kwenye madaftari

    Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  5. JamiiForums Tanzania Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  6. JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  7. JamiiForums Tanzania UN: Watu 1,146 wamefariki kwa kipindi cha Januari hadi Juni wakijaribu kuzamia Ulaya

    Umoja wa Mataifa (UN) umeripoti jumal ya watu 1146 kufariki wakijaribu kufika Ulaya kwa kuzamia kwenye safari za bahari ya Antlantik na Mediterania Namba hii ni zaidi ya mara mbili ya idadi iliyorekodiwa mwaka jana. Huku wakisema idadi inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa kuna ajali nyingi za meli...
  8. JamiiForums Tanzania Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

    Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza, Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu...
  9. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  10. JamiiForums Tanzania Enzi za Dkt. Bashiru kabla hajaonja ladha ya Madaraka

    Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers! Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja kuyaishi baadae. Dk. Bashiru Ally alikuwa muumini mkubwa sana wa katiba mpya na alipinga kwa nguvu...
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yakamata Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 katika kipindi cha miezi 3

    Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma. Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
  14. JamiiForums Tanzania Ni dhambi kuvaa barakoa kwa kipindi hiki?

    Habari wakuu, Nadhani ni muda mrefu tangu nipost last thread. Nashukuru Mungu ni mzima wa afya na kutokana na majukumu ya hapa na pale, nikashindwa ku-post, naamini hakijaaribika kitu kwani pamoja na yote nimekuwa nikipata nafasi za kusoma thread za wanajamii wenzangu,🙂 ingawa ntaimiss free...
  15. JamiiForums Tanzania Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

    Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  17. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Wewe ndiyo Mtangazaji mahiri na mweledi wa Michezo Kipindi cha Sports Arena Wasafi FM, mada ipi kati ya hizi ingekuwa ni ya Muhimu zaidi?

    Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala? Au Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji kwa Kuwaita Kaizer Chiefs FC ni Mediocre ( Wajinga ) baada ya Kufungwa Juzi Goli 3...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza

    Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza! Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed. Leo wamejifunga wenyewe baada ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

    Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi: 1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda. Kwamba mnataka upande wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…