Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password.
Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali
Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
Wakuu kwema?
Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH.
RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...
Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu.
Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya.
Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe?
Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693
Price 380,000
Kwema Wakuu!
Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine.
Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024.
Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali.
Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu!
Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku tutaisubiria sana na haitotokea!
Nina Jeuri ya kusema hivyo kwasababu,kadiri miaka inavyozidi...
Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika.
Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.