Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuwasilisha tangazo lilitolewa na Wizara ya Afya Tanzania kuhusiana na hizi ajira 1650 zilizotangazwa wiki iliyopita, kuna thread nikiiweka inayosema kuwa Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu.
Mapungufu yaliyopo kwenye tangazo walilolitoa...
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika
Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason
Dini imekuwa...
Kwema Wakuu!
Kwanza niipongeze serikali Kwa kufuta huo mswada wa kutaka kuwabeba polisi ati wasishtakiwe wakiwa kwenye majukumu Yao.
Ingekuwa muswada wa hovyo kuwahi kutokea.
Sisi waalimu nasi tungepeleka muswada bungeni kuwa tusishtakiwe tuwapo kwenye majukumu yetu, tukiwapa adhabu wanafunzi...
Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A kwa lengo la kutoa mamlaka kwa polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa.
Akitoa taarifa mbele ya Bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi amesema kwamba katika Muswada huo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.