kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tukio la kurushiana risasi kati ya Polisi na Mtu asiejulikana: Nasubiri katuni ya Masoud Kipanya

    Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana. Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
  2. Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

    Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania . Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari. Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
  3. A

    Tafakari na Kipanya: Mchungaji anaacha mifugo ijiongoze yenyewe

  4. E

    Kibonzo cha leo: Kipanya anamuuliza msure wake maana ya nchi kuwa fragmented.

  5. Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

    1. Ukwasi 2. Ubontaun 3. Busara 4. Eposure 5. English Kali 6. Kampani pr na washkaji Maulid Kitenge Masoud Kipanya
  6. Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

    Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
  7. A

    Aliyeelewa kibonzo cha Kipanya atusaidie

    Uelewa wangu mdogo unaniambia ujinga ndiyo unatuongoza, ndiyo umeshika remote control.
  8. Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

  9. Kibonzo cha Kipanya kinaelezea utendaji kazi wa Polisi Tanzania

    Wazee wa kupiga twende
  10. Kibonzo cha Kipanya: Baada ya msiba kuna ambao wanaibuka na kufungua midomo?

    Kuna anae ongelea Ranch ya Taifa kuwa imekufa as if amerudi juzi kutoka Ughaibuni.
  11. Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

  12. Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  13. Masudi Kipanya na Mohamed Said kinaga ubaga

  14. Mimi Masudi Kipanya na safari yetu ya miaka 100

    KUTOKA DHUHR HADI ALASIRI NA MASUDI ''MTU SPECIAL'' KIPANYA Leo ilikuwa siku makhsusi yaani special sana kwangu kwa kuwa katika chumba kimoja na Masudi Kipanya na vijana wake ''sharp'' wa Clouds Plus. Hiki kwa hakika si chumba kwa maana ya chumba kama tulivyozoea bali ni Maktaba ya Elite...
  15. Aliyemuelewa Kipanya atujuze

    Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka. Anataka kutueleza nini KP?
  16. Kibonzo cha Kipanya; hekima ni kuwaacha wote watoe hisia zao

  17. Kibonzo cha Kipanya; mfungwa ni nani huyu?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…