kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

    Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii? Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili...
  2. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Masoud kipanya katuletea nyingine hii

    Salamu zangu kwenu wakuu Tuendelee kuchanganua kama picha inavoeleza hapa chini
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu. '...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.' '....ni muda sasa...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Force Account: hata Kipanya anajua madudu!

    Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
  6. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Mizigo yenu ni hii hii kama yetu ama ya kwenu iko dry?

    "Hivi wale wanaotumia 'tishu' tu kujisafisha chooni, huwa wanashusha mizigo hii hii tunayoishusha sisi au wenzetu mizigo yao inakuwa dry, odourless and sophisticated?"
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kongole Masudi Kipanya kwa Ubunifu, hii ni challenge kwa wasomi

    Nampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

    Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi. Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza. Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  10. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Takwimu na Masoud Kipanya

    Kwa maana hii mtalii akienda Kilimanjaro, Mikumi nk wanahesabika ni zaidi ya mtalii mmoja.
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kipanya hapa sijakuelewa ujue

    Ana maanisha nini? Na hii brenda ya kijani nayo vipi
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo: mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali.

  13. Faana

    JamiiForums Tanzania Kipanya ni Burudani Tosha

  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kipanya na Polisi

    Asante Kipanya kwa kuliweka vyema hili. Hii ndio picha Halisi ya police wa CCM
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

    Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora. Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

    Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana. Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe. Maendeleo hayana vyama!
  17. L

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya una akili nyingi

    Huyu jamaa ana akili nyingi sana.IQ yake si ya kawaida.
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya leo

    Mibuyu ni miti inayoota huko Dodoma, ile kauli ilisema “Nimesikia huko Dodoma kwa akina Kassim….”. Mbuyu wa kwanza umeshang’olewa. Fuvu linaangalia lakini sasa halina kauli. Kwakifupi tu ninawasalimu kwa Jina la Muungano- Kazi iendelee.
  19. Nas Jr

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

    Kuna uhusiano wa alichofanya Samia na huu ujumbe wa Masoud?
  20. elmagnifico

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya huwa anasema mengi kwa picha au maneno machache

    Fact
Back
Top Bottom