kipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na maarifa ni mali ya Umma. Kipaji na ujuzi ni mali binafsi

    Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Swali: Je kuna watu kwenye mapenzi wana kipaji au uchawi kujua kila unachofanya wao wakiwa mbali na wewe?

    Wasalaam, Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana madhara au hana mfano kama demu ana majini au mashetani au mchawi sana huyo demu wangu alikuwa anq...
  3. JamiiForums Tanzania James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere alisema heri Mjinga kuliko Mpumbavu. Sasa najiuliza huenda Mpumbavu ni bora kuliko Chawa

    Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa; Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
  5. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kipaji kinaweza kuwa nguzo ya mafanikio

    Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe. I.Gundua kipaji chako. Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

    Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimae Serikali imekubali kwamba hakuna kitu kinaitwa kipaji maalumu

    Hatimae Serikali imeanza kutoka kwenye zama za ujinga za kutenga shule kadhaa na kuziita za vipaji maalumu. Serikali kusitisha mfumo wa kutangaza mwanafunzi wa kwanza sijui wa mwisho ni mwanzo mwema wa kuhama kutoka kwenye ujinga/zama za giza na kwenda kwenye mwanga na kuleta mapinduzi kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Naheshimu Kipaji cha Saido Ntibanzokinza ila asitake Kung'ang'ania kila Jambo la Uwanjani alifanye Yeye tu

    Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote akaiharibu. Saido Ntibanzokinza asilazimishe sana Ufalme ndani ya Simba SC kwani hata Wafalme...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto Antoni yupo na kipaji kikubwa Cha uimbaji wa muziki wa Injili.

    Huyu kijana Yohana Antony is blessing kid Katika uimbaji wa Injili Let's we support Good music from our Mother Land , praise and worship
  11. JamiiForums Tanzania Je, Fei Toto kulindwa na kipengele cha kulinda kipaji?

    Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho. Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia...
  12. JamiiForums Tanzania Feisal Toto, ulistahili, unastahili na umechelewa saana, Bravo, kuna muda Maisha ni akili, kipaji pekee hakitoshi - Wanasema Mision Accomplished

    Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo Matano (5) ya kusisimua ambayo unatakiwa kuyafahamu kuelekea Fainali ya Kombe la Dunia hii leo

    Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail. Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina. Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
  14. JamiiForums Tanzania Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

    Hapa jukwaani pamesheheni vijapi vya kila aina na vya kila namna. Kuna vipaji hai na vipo mfu. Kuna vipaji ambavyo vinatuburudisha, na vipo vipaji vinatuelimisha. Kuna vipaji vinatuonya na kutuadilisha, na pia kuna vipaji vinavyoyaelezea vyema maisha yetu ya usoni ambayo hatujayaishi bado na...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Kipaji ni nyota njema ambayo huonekana asubuhi

    MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NA MWENYE MACHO NA AONE, NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI. Njia sahihi ya kukifahamu kipaji cha mtoto,kukiendeleza na kukikuza pamoja na kujua wakati sahihi wa kukitumia ilikuleta manufaa kwa jamii na yeye pia, ni pale hakiwa na umri mdogo. Hivyo tunatakiwa kwanza kujua...
  16. JamiiForums Tanzania Steven Masele ni kipaji kilichopotea kwa kujikweza kwacho

    Ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Shinyanga, wilaya ya Kishapu, katika kijiji cha Ukenyenge. Ni msomi kutokea chuo kikuu cha Dar es Salaam. Masele ni mmoja wa vijana waliopata bahati ya kuaminika na chama kikongwe cha CCM. Na kwalo alibahatika kushika nyadhifa mbalimbali hadi kufikia ngazi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  18. JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Serikali Iniangalie katika hili

    Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa. Basi last week shem na sister walisafiri nikawa nimeachiwa nguo za kunyosha za shem. Nikaona...
  19. JamiiForums Tanzania Bernard Morrisson ni mchezaji mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa akili

    Kama wewe ni mionhoni mwa watu wanaodhani kuwa BM3 ni mchezaji wa ovyo asiye na akili, basi tambua wewe ndio wa ovyo na usiye na akili mwenye IQ ndogo
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania tunasubiri hadi labda Kiungo bora wa Ukabaji Jonas Gerald Mkude astaafu au afe ndiyo tumtunuku Tuzo kwa Kipaji chake Kikubwa?

    Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama Kushindana nae au hata Kumzidi. Sishangai ndiyo maana wakiwa katika Ndege wakitokea nchini Algeria kucheza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…