Kuna huyu mtoto anaitwa Hashyat. Alikua anaimba nasheed lakini kwa sasa ameacha kwa sababu ya umri. Kiukweli huyu mtoto kabarikiwa sauti, ana maadili na anajua kujibu maswali vizuri akiwa mbele ya camera zaidi hata ya wasanii wetu wakubwa. Kuna mahojiano alifanya kwenye sherehe yake ya kumaliza...
Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi.
Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza.
Askofu Gwajima pia amesema...
Wakuu bila Shaka hamjambo humu!
Huyu dogo nimekutana nae mtaani ila kwa haraka nimegundua Huyu kipaji cha utangazaji anacho ila anahitaji mtu wa Kimsaidia ili afikie ndoto yake kwani hajui hata pakuanzia naamini hapa Atapata wa kumshika mkono!
Hizi hapa ni audio nilizo mrecord namba Zane...
Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu.
Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI?
Habari wadau.
Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni.
Aina 7 za vipaji:
1) Ubunifu
2) Muziki
3) Hesabu
4) Picha
5) Lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.