kipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  2. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Neymar Jr kipaji cha soka kilichoshindwa kufikia malengo

    Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji. Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!! Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Hili la Mbowe kuibua kipaji cha Prof. Kitila Mkumbo lina ukweli?

    Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma! Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu na history ya Pro. Mkumbo atupe mwanga
  5. P

    JamiiForums Tanzania WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  7. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Una kipaji usichokitumia?

    Mimi kipaji changu ambacho sikitumii kabisa ni kupiga gitaa, hasa hasa gita la solo. Hiki kipaji Mungu alinipa toka utoto wangu,nilianza kwa kupiga madebe, makopo, nikapiga marimba, zeze, ndipo nikawa nawafata wana miziki nawaomba gitaa wananipa na hatimae nikafaulu sana nikawa mpiga mzuri mno...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

    Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fadlu apagawa kipaji cha Mpanzu, awaita mashabiki

    Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa, wakae tayari kumuona mchezaji mpya, Elie Mpanzu, akisema ataongeza kitu ndani ya kikosi chake kutokana na kipaji kikubwa alichonacho...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ushereshaji (MC) ni kipaji mtu anazaliwa nacho au unaweza ukajifunza?

    Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli vigodoro vinachezwa nyumba mpaka nyumba watu wanagarauka na wanafupana pesa na sio siri watu wanapata hela...
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Ndaro unafosi fani, huna kipaji

    Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma, 1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu. 2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima. 3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
  13. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
  14. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni kipaji kama hauwezi achana nayo

    Jichunguze tabia zako kama unajijua huwezi kutulia na ndoa yako tuliza kizazi alasivyo tutakikata!. Unaoana ili iweje ukijua utamletea mwenzako balaa!,kama hicho kipaji huna jishughulishe navitu vyengine usihangaishe makomwe yawenzako. Mnaona halafu mnasumbua wazee kila siku vikao wanakosa...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Manara ana kipaji cha pekee, wanayanga tunamwamini

    Manara ni fundi wa hizi kazi Ana kipaji cha pekee Watanganyika Kwa wivu wao wanajiinua mmoja Moja ili kumvunja moyo. Tuache wivu, Manara ndo best spokesman katika football, Ally Kamwe hawezi kufikia level ya Manara hata robo, japo anafanya vyema. Maadui msijifanye kumrudisha nyuma, wakati kazi...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

    Haya kama mada leta hoka tuone nini ni nini? Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

    Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini. Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

    Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
  19. masai dada

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana. Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
Back
Top Bottom