kioo

  1. R

    Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  2. Pale unaponunua kioo kimeandikwa Sundar au Aborder

  3. Kioo cha Pixel 7 pro kinahitajika

    Wakuu mwenye kioo cha pixel 7 pro used au mpya nahitaji kununua. Anicheki kwa 0624373709
  4. Assistant Finance Manager at Kioo Limited September 2024

    Job type: Full-time Position: Assistant Finance Manager Company: Kioo Limited Department: Finance Job Location: Administration Office Qualification: CPA/ACCA with minimum 10+ years of experience in manufacturing industry Reporting to: Finance Controller Job Description :Overview of...
  5. Kuota ndoto ya kioo kilichopasuka

    Habari wakuu Ndoto zinaweza kuwa na umuhimu kwa watu fulani na wengine hapana, hivyo Kila mtu yupo upande anaoamini. Usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo nusu uchi natembea nikipishana na watu nikaelekea mahali kuchukua kioo nilikua nimekua nikakuta kimevunjika nusu kipo chini nusu nikabaki nacho...
  6. Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

    Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa...
  7. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  8. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  9. B

    Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!

    Imepita miaka 30 ya mahangaiko na watu wenye kununulika. Bado tu nini hakijaeleweka? Kwamba ni ubinafsi kwenda mbele hoja zero? Yaliwakuta kina Mrema na pia kina Maalim Seif. Hao wakalazimika kushusha na kupandisha tanga. Zilizokuwa NCCR na CUF zikageuka Chausta. Kwamba binadamu ni viumbe wa...
  10. R

    Spare za Nissan Serena

    Nitapata wapi spare used za Nissan Serena au written off gari aina hiyo ambayo mtu anauza spares
  11. H

    Kuweka tinted kioo cha mbele cha gari

    Katika mazingira ya kawaida kuweka tinted sio tatizo na yapo baadhi ya magari huuzwa yakiwa nayo kutokata na kazi ya msingi iliyokuwa inafanywa na gari husika Ila sasa huku ULIMWENGU WA TATU imekuwa changamoto pale watu wenye nia ovu wanapotumia huo mwanya kufanya uhalifu Mfano: 1. Watekaji...
  12. Msaada wapi nitapata kioo cha rising tv inch 43 MWANZA?

    Habari wakuu nahitaji KUjua ni wapi naweza kupata kioo cha tv maeneo ya Mwanza!?
  13. L

    PreGE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

    Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na kufikiri vyema anaona wazi kabisa kuwa chama hiki kilichopata kujizolea umaarufu na kuwa na...
  14. Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  15. Kioo cha Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
  16. Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  17. Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  18. Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
  19. D

    INAUZWA Makabati 2 ya kioo ya Aluminum ya Pharmacy/Duka la dawa yanauzwa

    Yapo Dar es Salaam Buguruni Rozana. Bei sh 500,000/=. Simu: 0677759159, 0752113939
  20. Kioo Cha google pixel 3a ni shingapi?

    Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…