Queen Cleopatra
Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...