kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania HIVI TUMEKOSA KABISA KIONGOZI MZALENDO ANAEWEZA KUWEZA KISIKI KWA YANAYOENDELEA???

    Wakuu Nimepitia page ya mange kiukwel kama mtanzania mzalendo nafsi inaniuma sana yn watu wanajikusanyia ukwasi wa hali ya juu Watanzania wanateseka barabara mbovu,hospital hakuna dawa,usafiri shida,maji shida,elimu mbaya,ajira hakuna Umaskini ndo usiseme Alaf kuna watu wachache ambao...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi imara sas mikoa inafikikq

    HAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamia
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dini na Siasa ni maisha ya watu. Waacheni Maaskofu wazungumze

    Kufuatia funga ya Novena ya Kanisa Katoliki na Mahubiri ya Maaskofu wa Kanisa hilo Jumapili iliyopita, watu mbalimbali hususani wana CCM wamejitokeza kuwazodoa viongozi hao wa Dini kuwa wanachanganya Dini na Siasa na kuwataka waache mara moja. Mi nataka niwaulize, hivi ukiwa Kiongozi wa Dini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja (Karume)kwenye sarafu (200 na 500) za aina tofauti?

    Kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja kwenye sarafu za aina tofauti? Kwenye sarafu ya 200 na 500 kote Kuna mtu sura ya Abeid Karume. Je, hakuna viongozi au mashujaa wengine? Je, BOT waliishiwa ubunifu? Je, ni upendeleo au kuabudu mtu mmoja pekee badala ya urithi mpana wa taifa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda atoa maelekezo kwa Mdau aliyedai kuna Kiongozi anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha dokezo akihoji Kiongozi gani wa juu ambaye anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto kutoka katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa maelekezo kwa Mwananchi huyo kuhusu kipi anachotakiwa kukifanya. Kusoma...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye uwezo

  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marwan Barghouti anayetumikia kifungo kwa Ugaidi anatarajiwa kuwa kiongozi wa Wapalestina baada Magaidi wa Hamas kufurushwa Gaza

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hasira kutoka kwa Mamlaka ya Palestina. Barghouti, 66, ambaye amekuwa jela tangu 2004 baada...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa ukipata bilioni, kiongozi mzito wa serikali au idara wakitaka nusu unaweza kukataa ?

    Umefanikiwa kupata B ( Bilioni 1) Kiongozi mzito au idara ya serikali wanahitaji bilioni 1 nje ya mfumo rasmi . Unatoa wapi nguvu za kukataa ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  14. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Elimu: Kiongozi Akifariki Simu zake na Official Comms Zinakuwa Handled Vipi

    Salamu Wanajukwa, Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo. Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama. Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo! Anasema alipeleka ujumbe huo kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

    HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO – KIONGOZI, MWANASIASA NA MWANAMKE SHUPAVU Jokate Urban Mwegelo ni mmoja wa wanawake mashuhuri wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye amejipambanua kwa namna ya kipekee katika nyanja mbalimbali kama ubunifu wa mavazi, uandishi wa habari, uongozi, siasa na harakati za...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
Back
Top Bottom