kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja (Karume)kwenye sarafu (200 na 500) za aina tofauti?

    Kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja kwenye sarafu za aina tofauti? Kwenye sarafu ya 200 na 500 kote Kuna mtu sura ya Abeid Karume. Je, hakuna viongozi au mashujaa wengine? Je, BOT waliishiwa ubunifu? Je, ni upendeleo au kuabudu mtu mmoja pekee badala ya urithi mpana wa taifa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda atoa maelekezo kwa Mdau aliyedai kuna Kiongozi anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha dokezo akihoji Kiongozi gani wa juu ambaye anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto kutoka katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa maelekezo kwa Mwananchi huyo kuhusu kipi anachotakiwa kukifanya. Kusoma...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye uwezo

  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marwan Barghouti anayetumikia kifungo kwa Ugaidi anatarajiwa kuwa kiongozi wa Wapalestina baada Magaidi wa Hamas kufurushwa Gaza

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hasira kutoka kwa Mamlaka ya Palestina. Barghouti, 66, ambaye amekuwa jela tangu 2004 baada...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa ukipata bilioni, kiongozi mzito wa serikali au idara wakitaka nusu unaweza kukataa ?

    Umefanikiwa kupata B ( Bilioni 1) Kiongozi mzito au idara ya serikali wanahitaji bilioni 1 nje ya mfumo rasmi . Unatoa wapi nguvu za kukataa ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  10. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Elimu: Kiongozi Akifariki Simu zake na Official Comms Zinakuwa Handled Vipi

    Salamu Wanajukwa, Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo. Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama. Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo! Anasema alipeleka ujumbe huo kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

    HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO – KIONGOZI, MWANASIASA NA MWANAMKE SHUPAVU Jokate Urban Mwegelo ni mmoja wa wanawake mashuhuri wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye amejipambanua kwa namna ya kipekee katika nyanja mbalimbali kama ubunifu wa mavazi, uandishi wa habari, uongozi, siasa na harakati za...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kiongozi kuongea hivi ?

  18. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningefanya hili kuwanufaisha wadada wenye maumbo mazuri

    Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri. Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo kushuka chini, lakini kikubwa kikubwa kikubwa ni Makalio makubwa yaani Mizigo. Ni ukweli usiokwepeka...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata kiongozi mmoja anachaguliwa kwa kura Tanzania

    Kwanza kwenye chama tawala haya ya sasa ni maigizo hata mkibalia wagombea watatu mgombea wa Mwisho anachaguliwa sio kwa kura bali kwa matakwa ya viongozi bila hata kuhojiwa sababu! Hivyo hakuna mchakato wa kidemokrasia ndani ya CCM . Pili kuna watu wamekatwa bila sababu yeyote na hawaja ambiwa...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Back
Top Bottom