Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag:
“Hamas haitatia saini mkataba huo.
Morag Corridor inawatia hofu.
Hawataki...
Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp.
Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa...
Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama...
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi.
Kiongozi huyo wa kijeshi, ambaye ametwaa utawala kwa nguvu mara mbili, aliahidi kurejea kwa demokrasia mwaka jana, lakini hilo...
Ndugu wapendwa katika Kristo,
Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo wake ukiwa mbali na upendo wa kweli wa Kristo?
Tunasikitika na kutafakari kwa uchungu juu ya majeraha...
Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua Muwakilishi wao..
Lakini Jambo Hilo Lina maana gani?kukua Kwa demokrasia??Muamko wa Vijana??Mimi Nina...
Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka nchini Iran kutokana na kuendelea kutokuwepo Kiongozi Mkuu...
Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia.
Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote.
Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa...
Hii ni bandiko ambalo kila siku nitakuwa naweka maneno ya Baba mtakatifu OLUMBA OLUMBA OBU
Ujumbe wa: Jumatatu (23-06-25)
MANDHARI: USafi: UFUNGUO WA UFALME WA MUNGU
(Dondoo 4)
SOMO LA KWANZA - 1 Wakorintho 5:11
SOMO LA PILI - 1 Wakorintho 6:18
NUKTA YA DHAMABU - 1 Wakorintho 7:4-5...
Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa
Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri
Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii
na unapozidi kushabikia na...
Hapa Tanzania hakuna kiongozi mzalendo kama wanavyojinasibisha kwenye majukwaa ya kisiasa
Kwa Mfano
1. Hakuna mtoto wa kiongozi anayesomea shule za serikali za msingi, secondary na vyuo vya kati vya serikali
2. Viongozi wetu wakiugua wanakimbila hospital za nje ya nchi au hospital za private...
Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo." Anasema kuwa chini ya malengo ya vita ya IDF, "bila shaka mtu huyu hapaswi kuendelea...
Kristo Aliyerudi Mtakatifu Olumba Olumba Obu kaja kulikomboa bara la Afrika na kubwa zaidi Dunia Nzima Amani na upendo ndio Nguzo ya udugu wa Msalaba na Nyota
Dunia tuna kila kitu ila Hatuna Upendo baina yetu viumbe yofauti ,dunia na Mazingira yanayotuzunguka Dhambi Vita Njaa Hasira...
Nimekuwa nikitafakari juu ya hotuba na kauli mbalimbali za raisi wetu, ambaye ndio kiongozi wa juu kabisa nchini, na kugundua ana hasira sana. Anachukizwa hata na vitu vidogo vidogo ambavyo anapaswa kuvipuuzia na kutovijibu au kuvifanyia malumbano. Ana silka ya kumwagia petroli kwenye mambo...
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa mpango wa Israel wa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, maafisa watatu wa Marekani wameambia mshirika wa BBC wa Marekani CBS News.
Trump aliripotiwa kumwambia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba kumuua Khamenei "si wazo zuri"...
Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga.
Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.