Hapa Tanzania hakuna kiongozi mzalendo kama wanavyojinasibisha kwenye majukwaa ya kisiasa
Kwa Mfano
1. Hakuna mtoto wa kiongozi anayesomea shule za serikali za msingi, secondary na vyuo vya kati vya serikali
2. Viongozi wetu wakiugua wanakimbila hospital za nje ya nchi au hospital za private wakati hospital za serikali zipo
3. Wabunge wetu na mawaziri wetu KADI zao za bima za afya ni green card siyo CHIF au NHIF
4. Kila Mbunge anaishi mjini Jimbo ni sehemu ya mtaji wa kisiasa wanakuja kijijini wakati wa kampeini tu hawajui shida za umeme , Barabara, maji ,umeme, huduma mbovu za afya
5. Malipo yao ni Bora kulinganisha na kada yoyote Ile kana kwamba Hawa viongozi wetu ndo wanafanya kz kubwa kuwazidi watumishi wengine.. Mfano salary ya Mbunge ni karibu 15 million kwani Kuna watumishi wa umma ambao hawafikishi hata 1 million Kwa mwezi
Uzalendo ni kupendanmambo ya Taifa lako watu wote kuwa sawa chibi ya Sheria kwenye Taifa hakuna mtu aliye Bora kumzidi mwingine