Ni vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa uwaongozao.
#naonavyemavibes #NaonavyemaStyle #LuganoEdom #asiyebadilika #hakunahasara
Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X.
Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
"Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana"
"Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo...
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.
Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate...
Wakuu!
Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments
Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini?
Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments!
Viongozi wakumbuke watu hawafanani na...
Naam...
Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu.
Nje ya box.
Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election.
Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?.
Hata...
Katika nafasi ya uongozi, kiongozi mkuu wa nchi anabeba dhamana kubwa ya kuhakikisha usalama wa raia wake na mali zao unakuwa mkubwa. Endapo yakitokea mauwaji ama upotevu wa raia ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani kiongozi huyo anao wajibu wa kuhakikisha kwamba anakemea maovu hayo na...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
Mnisamehe sana dada zangu mko hapa huu uzi utakuwa mchungu sana hasa kwa wanaotaka ufeminist na pia wale wa Mitano Tena nao Utagusa mifupa ya uti wa mgongo
Toka enzi za mababu wana sababu za kufanya mme kuwa kichwa cha familia, ndo maana samahan kusema hili (Familia nyingi ambazo wamelelewa na...
Toka magaidi wa Hamas wafanye mashambulio huko Israel na kufanikiwa kuua watu 1,200 na wengine 251 kutekwa nyara na Magaidi hao. Majeshi ya Israel yana kazi moja tu nayo ni kuwasaka magaidi popote walipo kisha kuwaangamiza bila che be ya huruma.
Picha I wanaonekana viongozi waandamizi wa Hamas...
Naona kama watu wanakuwa na mikanganyiko haswa katika siasa zetu hapa Tanzania, imekuwa sio vuta nikuvute bali ni vurumai yakufuata mtu yoyote kwasababu mbalimbali aidha, nyadhifa fedha ama kujuana!.
Hivyo binafsi nikawaza kipi ni kipimo cha kiongozi bora..?
Binafsi naweza kusema kiongozi bora...
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi"
"Kwa nafasi yetu...
Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba.
Haoni kushiriki uchaguzi ni...
Hata itokee anahubiri vipi Amani, hata itokee anajua Kuongea na kuvutia, Hata itokee anatoa Misaada katika Jamii, IKIWA kinywa chake ni kizito kukemea UTEKAJI NA MAUJI.
Huyo ahesabiwe kama Adui wa TAIFA hili.
Baada ya maamuzi ya msajili so to say sasa CCM na serikali yake inapambana na Heche tu sio?
Hata marefa kwenye kutoa kadi nyekundu huwa wanakuwa na aibu aisee hii sio mchezo!
Je ni udhaifu wa CCM na serikali kwenye mapambano au ni woga?
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.