KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
968
1,155
Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya kambi ya Lissu. Lissu nae anaandaliwa ccm kupitia msigwa ili aje kupunguza nguvu ya chadema pindi akishindwa.

katika hali hii sisi wafia chama tunapoteza morali, lkn kwa wanasiasa haojalishi. Maadam mpunga unaingia.

Niulize. Kuna andiko lolote la yeriko akimsagia kunguni majaliwa?

Ni wazi kwasasa vita insyoendelea ktk kinyanganyiro cha uenyekiti, ni kwasababu wamekata tamaa ya kushinda ktk nafasi ya urais ktk uchaguzi mkuu 2025. Kinyume chake wangeachiana nafasi hizi yeti mmoja agombee uenyekiti mengine kuomba nafasi ya kiti cha Urais

Kazi kwenu mnaojifanya wafia chama. Wanywa maji ya bendera
 
Back
Top Bottom