kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  2. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  3. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijue safari ya ufunguaji kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC) kwa muktadha wa hali ya Tanzania

    UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kama Hamkuuwa Pelekeni CNN Kwenye Mahakama Husika za Kimataifa Tujue Ukweli

    Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN, Aljazeera, BBC, DW, AFP wote wanaongea uongo. Kama kweli nyinyi ni watu mlio na uhakika na hamkuuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  8. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  9. JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  10. JamiiForums Tanzania Kauli za Gerson Msigwa zinachochea moto zaidi na kujivua nguo kimataifa vyombo vya kimataifa ni vyombo huru haviingiliwi

    Kauli za Gerson Msigwa zinachochea moto zaidi na kujivua nguo kimataifa vyombo vya kimataifa ni vyombo huru haviingiliwi
  11. JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  12. JamiiForums Tanzania Jumuiya za kimataifa haziwezi kufanya chochote dhidi ya serikali dhalimu zaidi ya matamko na vikwazo ambavyo madhara yanarudi kwa Wananchi

    Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️ 1. Iraq chini ya...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

    Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada...
  14. JamiiForums Tanzania Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

    Watanganyika tumeamua. Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao. Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
  15. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kimataifa la Nasser lashiriki katika Kongamano la Vijana wa Afrika 2025

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

    Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi. Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia? Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki? Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tumeshashinda mapambano wanapumulia kisoda mafisadi, tumesha wapoteza hawaaminiki tena na wananchi wala kimataifa

    Utaona wanajifanya wapo bize kana kwamba hakuna kinachoendelea kumbe presha zao zipo juu sana, Tukutane kwenye Final #D9 tuwakimbize kwenye nchi yetu
  18. JamiiForums Tanzania Wiki mbili baadaye, jumuiya ya kimataifa bado haijawatupa mashujaa wa Tanzania

    Ni vigumu sana kuua maelfu ya watu pasipo na sababu, hususan kwenye zama hizi, halafu utegemee dunia ikae kimya. Sasa hivi dunia imeingiliana sana. Litokealo sehemu moja basi jua kuwa litawagusa tu na wengine waliopo sehemu zingine. Ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa haina vyombo vya habari...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa achaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)

    Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa, amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo kikuu cha kimahakama cha Umoja wa Mataifa. Uchaguzi huo ulifanyika Jumatano Novemba 12, 2025 ambapo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama vilimpigia kura Profesa...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…