kimataifa

  1. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kuna neema inakuja kwa baadhi ya vijana, katika ushirikiano wa kimataifa

    Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao... Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao. Ni Kama Ile ya tasnia ya sanaa ya uigizaji walivyokwenda kule Korea... Neema hii Inaweza kua ni matunda ya...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Aibu! Hivi ndivyo Tanzania inavyoonekana mbele ya jumuia ya kimataifa

    Chawa drama 🤣. Supposedly nchi ni tajiri wa rasilimali. Rais asiye na mipango yoyote ya kuitoa nchi kwenye kundi la nchi za ulimwengu wa tatu. Ila siwalaumu sana CCM. Kuna msemo usemao hivi ‘see a fool, use a fool’. CCM see Tanzanians as fools hence they’re using them to enrich themselves...
  3. Diversity

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anavyokumbukwa Tanzania na kimataifa

    Leo Oktoba 14, 2025 ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Alizaliwa Aprili 13, 1922 na alifariki dunia Oktoba 14, 1999. Alisoma katika Chuo cha Makerere mjini Kampala, Uganda, kisha akaendelea na masomo katika Chuo Kikuu cha Edinburgh, Scotland, akiwa...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

    Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ? Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Xiangshan latoa ufunguo kwa juhudi za kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni jitihada muhimu za kutafuta njia ya kusuluhisha migogoro duniani. Dhana ya kongamano hilo lililotetea...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania International (Kimataifa) na Overseas (kwenye nchi za nje)

    Watanzania tutofautishe na matumizi ya maneno international na overseas au abroad. International ni baina ya mataifa yote duniani ikiwamo Tanzania, usitumie neno international kama unataka kusema nje ya Tanzania. Neno la kutumika hapo ni overseas au abroad ukiwa na maana ya mataifa yote...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara zinafanya nini kutengeneza watu mashuhuri na wawakilishi wa kimataifa?

    Na sasa watu wanampongeza ndugu aliyeshinda Marathon na kuleta medali nchini. Miaka kadhaa iliyopita Ramadhani Brother walifanya maajabu, Mwakinyo naye alileta ushindi na watu wengine mbalimbali. Hawa watu wakihojiwa wanaweka wazi kuwa hawajapata msaada mkubwa kutoka kwa serikali na mara...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakutanisha wadau kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Demokrasia

    Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini. Kauli mbiu ya mwaka huu "Demokrasia na Uchaguzi Bandia Tanzania." Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Chama watashiriki...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania IDU watakao jumuia ya kimataifa kupuuza Uchaguzi wa Tanzania

    Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine. IDU ni muunganiko wa vyama vya Africa,ulaya na America,,kitendo Chao cha kusema jumuia ya kimataifa zipuuze uchaguzi...
  13. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata kitaifa na kimataifa unapotaka kutengeneza app yako ni zipi?

    Wakuu Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya "majangili" ya kuona project za watu na kukopi na kujipatia utajiri kirahisi kwa dhulma. Na kama Kuna...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa wahitimisha shughuli za Mfano wa Uigaji wa Umoja wa Afrika

    Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa Waafrika na wenye asili ya Kiafrika kupitia fidia", ambayo ni kauli mbiu iliyopitishwa na Umoja wa Afrika...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Rais Samia anavyoonekana kimataifa!

    https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU “The first ever president to elect herself” Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena! Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa. Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026. Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

    Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa. Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
Back
Top Bottom