kimataifa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyewadanganya Yanga SC kuwa mwaka huu nao Watashiriki 'Kimataifa' kisha 'Wakasajili' Wachezaji watakaosumbuana nao 'Kimalipo' atawaomba Radhi lini?

    Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika wagombea Urais, Tundu Lissu ndiye mwenye uwezo, historia na haiba ya kupaisha heshima ya Tanzania katika diplomasia na ushirikiano wa kimataifa

    Ni jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5. Rais wa Nchi ndiye mwanadiplomasia nambari one wa nchi yake, na ktk hili tuwe wakweli kwamba tumepungukiwa. Tatizo la kwanza liko ktk uwakalilishi. Rais wetu amekuwa hahudhurii vikao muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  5. JamiiForums Tanzania Rafiki wa kukupa fursa za kimataifa

    Urafiki wowote lazima uwe na faida au tija, hakuna urafiki mzuri kama wa kupeana fursa, kusaidiana penye changamoto n.k marafiki wa stori stori au maneno maneno sio wa kuaminika, ndio waliowengi wana 'element' za kiunafiki. Leo wako na wewe, kesho wanageuka kuwa adui. Ni vizuri kujiwekea...
  6. JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari: Rwanda yatoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa kwa Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi la Rwanda

    Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa dhidi yake Jumanne Agosti 25. Aloys...
  7. JamiiForums Tanzania Je, na sisi "tutamuiga" rafiki ambaye "tumemuweka" madarakani na bado tunaendelea "kumpigania" kimataifa?

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesaini Sheria mpya ambayo inazuia wanafunzi wa kike wanaopata mimba kufukuzwa kwenye shule za Serikali “haitakiwi kuwafukuza Mabinti shule kisa wamepata mimba, waachwe wasome, kupitia Sheria hii ni marufuku pia kuwapa adhabu kali wanafunzi” Millard Ayo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao. Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Umati mikutano ya wadhamini wa Tundu Lissu inaitangaza Tanzania kimataifa, watalii njooni Tanzania hakuna corona

    Tangu aanze kuzunguka kutafuta wadhamini Tundu Lissu amekuwa akipokewa na umati mkubwa sana wa watu tena hawajavaa hata mabarakoa. Vyombo vya habari vya nje mnaofuatilia harakati za Tundu Lissu kusaka Urais wasiishie tu kutaka kumhoji Lissu bali pia watende haki kwa kuutangazia ulimwengu kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa tena kimataifa

    Wana-JF, Nimeangalia Al-jazeera kipindi kifupi kilichopita. Nchi yetu imepaa tena kwa taarifa za kuzuia uhuru wa vyombo vya habari. Safari hii ni habari za kuvibana vyombo vya nje ya Tanzania:
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

    Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa. "Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

    Waziri wa habari Mhe. Mwakyembe amesema hakuna Media yoyote ya kimataifa iliyoxuiwa kufanya kazi nchini. Kadhalika hakuna kanuni yoyote inayomtaka mtangazaji wa media hizo kuandamana na askari kila anapoenda kufanya mahojiano na wanasiasa. Waziri Mwakyembe amesema hayo katika mahojiano na...
  14. JamiiForums Tanzania Ijumaa ya Kwanza ya Agosti: Siku ya Kimataifa ya Bia. Kunywa Bia kufurahia wote wanaohusika katika utengenezaji wake

    Bia ni moja ya vinywaji vya zamani vinavyojulikana. Siku ya Bia Duniani inawapa wapenzi wa kinywaji hicho sababu moja zaidi ya kunywa kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi Agosti Siku hii ilianza huko Santa Cruz, California, kusherehekea Wataalamu wa kusindika na kuthamini wale wote wanaohusika katika...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Media Tanzania bado ni dhaifu sana. Kuna haja ya kujifunza kutoka wa wenzao wa Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali zinazotoka katika vyombo mbali mbali vya habari (Media) hapa nchini hasa katika kipindi hiki cha Msiba wa Mkapa. Jambo la kusikitisha ambalo mimi binafsi nimegundua ni kwamba bado wapo mbali saana (nyuma) katika weredi wa jinsi gani ya kuandaa taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Shirika la Utangazaji la Voice of America lathibitisha Tanzania hakuna Corona na ni salama

    Shirika la Habari la Sauti ya America yaani VOA limethibitisha kwamba Tanzania ni salama na hakuna ugonjwa wa homa ya Virusi vya Homa ya Mapafu vinavyosababishwa na Virusi vya Corona ====== Can Tanzania Really Be Coronavirus-Free? DAR ES SALAAM, TANZANIA - Today I decided to do my own...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga na Azam kucheza michuano ya kimataifa?

    Upo uwezekano mkubwa kwa Tanzania kupata nafasi nne za uwakilishi kwenye michuano ya vilabu barani Afrika (CAF CL na CC) kutokana na uwezekano wa Libya kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya kukosa sifa kwa kuwa hawakuendesha ligi yao kutokana na changamoto za kiusalama Kupitia michuano...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

    Gazeti la "theafricareport"limechapisha habari(0nline) kuhusu mahojiano waliyofanya na Tundu Lissu, ambapo Lissu kaongea mambo kadhaa kuhusu utawala huu wa awamu ya tano na azima yake ya kurudi nyumbani. Gazeti hilo pia linaonekana kufanya mahojiano na mwanasheria wa Tundu Lissu na yafuatayo ni...
  20. JamiiForums Tanzania Maonesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba

    Maonesho ya biashara yanayojulikana kama Sabasaba yalianza mwaka 1962 yakiwa ni maonesho ya Kilimo yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya Wizara ya Biashara na Ushirika. Maonesho hayo yalikuwa na lengo la kukuza kilimo na ushirika Mwaka 1978 serikali iliunda Bodi ya Biashara ya nje kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…