kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  3. JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

    Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana. Kama mwaka uliopita...
  6. JamiiForums Tanzania Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

    Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani, " Hakuna kama Rais Samia " Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

    Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake. Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wavulana wa soka wa Jangwani msione vibaya kuwapigia makofi wanaume wa soka wanaokipiga leo, kesho na keshokutwà dimba la kimataifa!

    Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

    Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

    Hapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya. Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya biashara ya 130 ya kimataifa ya Guangdong yaendelea kujenga picha nzuri ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  14. JamiiForums Tanzania Simba na TFF msimchezeshe Kibu Denis mechi za kimataifa kuepuka kujutia

    Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake. Kibu alisajiliwa na Simba kama raia wa Tanzania na kucheza mechi za ndani na nje ya Nchi kama raia wa tz wakati...
  15. T

    JamiiForums Tanzania USTADH MGANGA ATABIRI RAIS KUPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA

    Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanzo mzuri anga za kimataifa

    Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyo kuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa moja...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kijana Mkenya kuwakilisha Afrika kwenye shindano la kimataifa baina ya wabunifu duniani

    Kama kawaida, Afrika tunazidi kuiwakilisha kwenye mambo makuu yanayohitaji matumizi ya ubongo. A Kenyan startup has made it to the finals in an international competition for newly established businesses, where the winner will take home Ksh11,040,000 prize money. KOA Mobile App, which offers...
  18. JamiiForums Tanzania Online banking kimataifa: Stanbic au CRDB?

    Naomba ushauri. Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje? Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, turufu muhimu katika Siasa za Kimataifa

    Na Dk Juma Mohammed Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
  20. JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza kuaga mashindano ya kimataifa kabla ya ligi kuanza

    Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…