kimataifa

  1. S

    Yanga akishinda mechi zake zijazo ikiwamo ya kimataifa, turarajie kusikia nini kutoka kwao?

    Binafsi najua hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi kwenye mechi za ligi pamoja na ile ya Club Bingwa dhidi ya Al hilal ya Sudan. Swali: Kwakuwa hawa mabwana huwa hawakosi sababu, safari hii tutarajie kusikia nini kutoka kwao? Je, wataendelea kusema GSM ananunua marefa? GSM ananunua...
  2. Tanzania na uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa

    Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa na lengo la kujadiliana namna ya kuimarisha mpaka wa...
  3. Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya biashara ya Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana. Maonesho hayo yamewakutanisha wafanyabiashara wa ndani na Kimataifa ambao wanatangaza huduma na bidhaa zao ili...
  4. Mbunge Tauhida: Wasanii wasio na skendo wapewe "Pasipoti za Huduma" kuwarahisishia safari zao Kimataifa

    Wadau huko Bungeni kuna mapendekezo ya Wasanii wapewe Service Passports Mbunge wa Viti Maalum, Tauhida Nyimbo amependekeza Wasanii wa Tanzania ambao hawana skendo na wanaiwakilisha nchini kimataifa wapewe "Pasipoti za Huduma", ambayo hupatiwa Mkuu wa Mkoa, Msajili wa Mahakama ya Rufaa au...
  5. Tajiri MoHammed Dewji: Mfanyabiashara Mtiifu na Mshindani katika Soko la Kimataifa"

    " Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
  6. M

    Anahitajika Youtube content creator

    Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
  7. Wizara ya Madini Kurejesha Minada ya Ndani na Kimataifa Madini ya Vito

    ● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini inarudisha minada ya ndani ya...
  8. M

    Dr Tulia akumbana na maswala mazito bunge la kimataifa tofauti na bunge la Tanzania

    Msikilize Na bunge letu lingalikuwa kama hili tungalikuwa tupo mbali sana kimaendeleo Cc Peter Msigwa Lucas
  9. Sheria ya kimataifa ya vita kiuhalisia haitekelezeki

    kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume hata wewe upo kwemye uwanja wa mapambano halafu adui yako aliyekuwa anataka kukuaa amekukosa kosa...
  10. Waziri Mavunde - Maonesho ya Madini Geita Kuboresha Kufikia Hadhi ya Kimataifa

    MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa kujenga majengo ya kudumu na kuboresha miundombinu 📍Bombabili EPZ, Geita Waziri wa Madini Mh...
  11. Siku Ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike: Je, unamlinda binti wa Mwanzio kama wa Kwako?

    Leo tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, tukumbuke kwamba bado wasichana wengi ni wahanga wa ukatili wa kijinsia. Swali la kujiuliza ni hili: Je, tunawajali na kuwalinda mabinti wa wenzao kama tunavyowalinda wa kwetu? Tafakari na chukua hatua kuhakikisha kila binti anapata haki na ulinzi...
  12. Nini kikwazo cha wasanii Filamu Tanzania kutokwenda kimataifa?

    Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
  13. Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

    Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa. Sasa ni zamu ya DW. Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu. Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na...
  14. Special Thread: Mnanda, Mchiriku, vanga na Singeli Utamaduni wa kipekee unaotambulisha Tanzania kimataifa

    Thread hii ni maalumu ya kutambulisha muziki huu ambao juhudi za kuukwamisha zimeshindikana na sasa unachukua sifa duniani kote. Katika thread hii tunaweza kupakia(upload ) na kusikiliza singeli za ndani ndani uswahilini ambazo ukisikiliza kwa makini utapata ujumbe murua na muhimu ndani yake...
  15. Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  16. Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  17. Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  18. P

    Salamu kutoka Marekani: Zingatia haya unapo-apply fellowships, scholarships au fursa ya kimataifa

    Umeshaomba vitu vya kwenda nje ya nchi mara kadhaa ili haujawahi hata kuitwa kwenye interview japo unajiona kabisa vigezo vingi ulikuwa navyo? Haya acha kuamini uchawi ukaanza kutafuta waganga, leo nimekuja kushare experience kidogo kufanya uongeze uwezekano wa kupata application yako ijayo...
  19. Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  20. Hili soko la kimataifa EALCC linalojengea Ubungo stendi ya mkoa ya zamani naona kama litakuwa kama mlimani city tuu

    Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza. Mi naona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…