kimataifa

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

    Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni. Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Misri wamewafanyia vurugu na kuwaondosha waandamanaji wa kimataifa waliotaka kupitia nchini kwao kuelekea Gaza.

    🤣🤣 Wamisri wameona hawataki kuingizwa katika utapeli wa kipalestina. Wana maana yao kwa nini wameweka uzio mkubwa katika ya gaza na misri.
  4. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

    Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha! Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo. Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutafuta sympathy ya Jumuiya za Kimataifa ni ishara tosha kwamba hawawezi tena kwa lolote imekata pumzi Kisiasa nchini

    Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia. Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani kumekifanya chama hicho kukosa cha kufanya zaidi ya kupiga mayowe na kuomba huruma ya viongozi wa dini...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia amtaja Janabi, asema ni kwa juhudi za Rais Samia Tanzania imepata viongozi katika taasisi za kimataifa na sio juhudi binafsi za wahusika

    "Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya (WHO) duniani kanda ya Afrika. Aidha leo hii mimi nimesimama mbele yako pamoja na...
  10. errymars

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa, umeionaje?

    https://fntaz.com/
  11. errymars

    JamiiForums Tanzania Nilifungua Website ya Kimataifa Mwezi wa Kwanza nikapokea Maoni mengi sana

    Sasa imefikia hatua hii, Naombeni maoni yenu 🙏 https://fntaz.com/
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway Kazungumza vizuri tu ila alichofanya sio kitu cha kipekee

    Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway. Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana. Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya...
  13. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kimataifa, Gen Z Kenya, Elon Musk na Diaspora saidieni kupaza sauti ukandamizaji mkubwa unaoendelea Tanzania

    Hii ni kwa wale wenye mapenzi mema ma wazalendo wa nchi yao, Wote tunashuhudia ukandamizaji mkubwa wa demokrasia, utekaji na mauaji makubwa yakifanyika mchana kweupe. Wote tunashuhudia ni kwa jinsi gani CCM imedhamiria kutumia mabavu kwa namna yoyote kuhakikisha inasalia kwenye dola, Nani...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa

    Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo. Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika. Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaomba Jumuiya za Kimataifa msamaha kwa niaba ya Tanzania, kwa madhila yaliyowakumba wageni wa kesi ya Lissu

    KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU CHA SERIKALI YA TANZANIA, CHADEMA YAAMUA KUBEBA WAJIBU WA KUWAJIBIKA KUZIMA HASIRA ZA JUMUIYA YA KIMATAIFA CHADEMA katika press conference leo 20 May 2025 imewaomba wageni wote waliopata kadhia kutoka mamlaka za serikali ya Tanzania. Wageni hao wengine...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Taifa: Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP)

    Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim. Sasa tuna waziri ambaye hajulikani kwasababu nchi imefunikwa na matukio ya ajabu ajabu na kiki za kiusalama
  20. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi Kenya wavamia ubalozi wa Tanzania kutokana na Wakenya kushikiliwa na kuzuiwa kuingia Tanzania

Back
Top Bottom