kimataifa

  1. S

    JamiiForums Tanzania "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Amani Golugwa zililenga kukwamisha uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA

    "Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watalii wa kimataifa yaongezeka kwa kipindi cha miaka minne kutoka 922,692 hadi 2,141,895

    Wizara ya Maliasili na Utalii imesema Idadi ya watalii wa kimataifa imeongezeka kwa asilimia 132.1 kutoka watalii 922,692 Mwaka 2021 hadi watalii 2,141,895 10 Mwaka 2024. Hayo yameelezwa leo Mei 19,2025 bungeni Dodoma na Waziri wa Wizara hiyo,Blaozi Dk Pindi Chana wakati akiwasilisha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi inavyoshughulika na wageni wanaokuja kwenye kesi ya Lissu, serikali ya CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwenye uso wa kimataifa

    Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuna namba za simu za kimataifa (international dialing codes) soma hapa.

    Namba za Simu za Kimataifa ni Nini? Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania kwenda Marekani, unaanza na +1 (ambayo ni code ya Marekani), halafu unafuata na namba ya mtu...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Huwezi ukawashitaki Polisi kwenye vyombo vya kimataifa

    Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa. Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  11. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa fukwe ya Kigamboni

    One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni -It has six bedrooms all en-suite, sitting room, dining room, kitchen, store and public toilet. -There is a lift and Swimming pool - Servant Quarter with one bedroom, sitting room and public toilet -Plot size Sqmtrs 1,960 -Document...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania tena kwenye habari za kimataifa!

    Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi. Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia. Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi...
  13. Tony Yeyo

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

    Wakuu habar zenu Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano Sharti awe mkoa wa mbeya
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

    Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo. Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai. Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini! Kumbe kwa tafsiri...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo @jokatemwegelo : Emanuel Martine hivi huu ni mkutano mkuu wa tawi la chuo cha Kampala au ni mkutano mkuu wa kitaifa...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Siku ya ndege kimataifa

    Kila mwaka mnamo Aprili 1, Siku ya Kimataifa ya Ndege hutukumbusha jukumu muhimu la ndege katika kudumisha usawa wa ikolojia. Ndege huchangia afya ya mfumo wa ikolojia, udhibiti wa wadudu na kuzuia magonjwa. "Ndege ni muhimu kwa kudumisha usawa wa ikolojia na usalama, na wanatekeleza majukumu...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

    Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hungary imejitoa Mahakama Ya Kimataifa na wamekataa kumkabidhi Netanyahu ICC

    Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC. Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi. Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC ya Kimataifa kushuka dimbani kuikabili Al Masry Aprili 2, Misri

    Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez. Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa...
Back
Top Bottom