Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,043
Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi.

Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia.

Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi wa magari US, clinic haramu za kuongeza makalio US yani anaenda to the source na akiwa anawahoji wanakuwa wamevaa masks japo wauza madawa hawavai masks wengi wao huko mexico.

Sasa wiki hii alikuwa nafuatilia hawa scammers wa mtandaoni wanao scam watu kupitia kujifanya wanawake au wanaume kupitia dating sites.
Hivyo alisafiri mpaka Ghana ambapo biashara hii imeshamiri. Anasema inaanza Nigeria then Ghana.

Aisee ni biashara kubwa sana na sio rahisi rahisi. Kumbe wana script za nini waandike na nini waseme, unakuta ni kikundi, wana wataalamu wa graphics, wana mtaalamu wa IT yani crew.

Na kuna boss ambaye wanawaita finisher. Huyu yeye ndiye anakuwa anatafuta potential clients akishawapata anawasukumia sasa hawa wa chini wa deal naye ela ikitumwa naipokea boss hawa wa chini wanapewa % kidogo.

Wanakwambia zamani ilikuwa rahisi kuwascam watu kwasababu mambo ya video call yalikuwa hayapo now ngumu. So, mtaalamu wa IT unakuta ametengeneza system anatumia video ambazo wanasema nazo wanazinunua yule mtu akiwa anachat na mtu via dating site anaona huyo mtu kwa video anatype so anaamini kweli ni mtu really kumbe ni video imesetiwa.

Wakioiga calls za kawaida wanaongea wnaume ila wana tune sauti kuwa za kike, ila kuna muda wanainvolve na wanawake.
Kilichonishangaza zaidi wanatumia pia black magic. Mtu wakiona hatoi pesa, wanaprint picha yake inapelekwa kwa mganga anaifannyia mambo, wanadai ela inatoka hata mtu aambiwe anataka dollar 20000.

Pia wengine wana guilty consciousness kuna mmoja anadai alimscam mwanamama mmoja pesa akajiua, mwingine anasema alimscam mwanamama ela ya nyumba.
Wanadai wanaume ni rahisi kuwascam kuliko wanawake.

Pia akatoka hapo akawahoji victims, na imegundulika wanawake ndio wakiibiwa hujiweka wazi wanaume hata.
Sema kuna watu wa kuwatrack. So kuna mmoja alikuwa anataka kumscam mwanamama kumbe mwanamama ashamshtukia, so akaendelea playa dumb. Jamaa alikuwa kaweka picha ya mwanajeshi wa US anadai yuko middle east so akamwomba amtumie dola 4000 via bitcoin.

Mwanamama alikuwa ashamwandaa jamaa ea kuwatrack, akamdanganya ametuna yule jamaa alikuwa amemtumia link flani amtumie huyo scammer yule scammet alipoclick tu ile link jamaa akadaka location yake kuwa yuko ghana accra.

Hao scammer wanakwambia kuna watu wakubw Ghana ndo viongozi wa hiyo kitu na ukijaribu kuwafuatilia you can end up dead.
 
Hata YouTube vipindi vya dizain hiyo vimejaa, sio tu wanigeria na waghana walioko Africa Kuna wengine wanabase za Thailand, India, china, Dubai na wanatarget vizee either wanawake or wanaume ambao wanajua ni wapweke.

Hadi Kuna program nyingine waliotapeliwa kutoka Australia wameanzisha organization yao kutiana moyo, Maana wengine waliuza nyumba ama kutoa savings zao zote.
 
Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi.

Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia.

Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi wa magari US, clinic haramu za kuongeza makalio US yani anaenda to the source na akiwa anawahoji wanakuwa wamevaa masks japo wauza madawa hawavai masks wengi wao huko mexico.

Sasa wiki hii alikuwa nafuatilia hawa scammers wa mtandaoni wanao scam watu kupitia kujifanya wanawake au wanaume kupitia dating sites.
Hivyo alisafiri mpaka Ghana ambapo biashara hii imeshamiri. Anasema inaanza Nigeria then Ghana.

Aisee ni biashara kubwa sana na sio rahisi rahisi. Kumbe wana script za nini waandike na nini waseme, unakuta ni kikundi, wana wataalamu wa graphics, wana mtaalamu wa IT yani crew.

Na kuna boss ambaye wanawaita finisher. Huyu yeye ndiye anakuwa anatafuta potential clients akishawapata anawasukumia sasa hawa wa chini wa deal naye ela ikitumwa naipokea boss hawa wa chini wanapewa % kidogo.

Wanakwambia zamani ilikuwa rahisi kuwascam watu kwasababu mambo ya video call yalikuwa hayapo now ngumu. So, mtaalamu wa IT unakuta ametengeneza system anatumia video ambazo wanasema nazo wanazinunua yule mtu akiwa anachat na mtu via dating site anaona huyo mtu kwa video anatype so anaamini kweli ni mtu really kumbe ni video imesetiwa.

Wakioiga calls za kawaida wanaongea wnaume ila wana tune sauti kuwa za kike, ila kuna muda wanainvolve na wanawake.
Kilichonishangaza zaidi wanatumia pia black magic. Mtu wakiona hatoi pesa, wanaprint picha yake inapelekwa kwa mganga anaifannyia mambo, wanadai ela inatoka hata mtu aambiwe anataka dollar 20000.

Pia wengine wana guilty consciousness kuna mmoja anadai alimscam mwanamama mmoja pesa akajiua, mwingine anasema alimscam mwanamama ela ya nyumba.
Wanadai wanaume ni rahisi kuwascam kuliko wanawake.

Pia akatoka hapo akawahoji victims, na imegundulika wanawake ndio wakiibiwa hujiweka wazi wanaume hata.
Sema kuna watu wa kuwatrack. So kuna mmoja alikuwa anataka kumscam mwanamama kumbe mwanamama ashamshtukia, so akaendelea playa dumb. Jamaa alikuwa kaweka picha ya mwanajeshi wa US anadai yuko middle east so akamwomba amtumie dola 4000 via bitcoin.

Mwanamama alikuwa ashamwandaa jamaa ea kuwatrack, akamdanganya ametuna yule jamaa alikuwa amemtumia link flani amtumie huyo scammer yule scammet alipoclick tu ile link jamaa akadaka location yake kuwa yuko ghana accra.

Hao scammer wanakwambia kuna watu wakubw Ghana ndo viongozi wa hiyo kitu na ukijaribu kuwafuatilia you can end up dead.
Na ukisoma hii stori utaona tricks zao kupitia dating sites wanazotumia.

Hao waghana walikuwa wanamwambia huyo mtangazaji kuwa tunalipiza wazungu wametuibia sana na walipeleka mababu zetu kama watumwa.
Huo ni uhalali tu wanatafuta.

Hata Wa-Nigeria matapeli wa mitandaoni ( Yahoo boys ) wanasemaga kuwa huwa wanarudisha pesa za nchi zao ambazo wanasiasa wao huwa wanaiba na kwenda kuficha huko nje.
 
Hata yeye alisema wanajaribu justify uovu wao
 
Ikumbukwe Nigeria ni taifa lenye watu zaidi ya milioni mia mbili, wengi wao wakiwa vijana wasomi ambao ni majobless; Ni lazma tutegee kusikia utapeli na baishara nyingine nyingi za kitapeli
 
Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi.

Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia.

Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi wa magari US, clinic haramu za kuongeza makalio US yani anaenda to the source na akiwa anawahoji wanakuwa wamevaa masks japo wauza madawa hawavai masks wengi wao huko mexico.

Sasa wiki hii alikuwa nafuatilia hawa scammers wa mtandaoni wanao scam watu kupitia kujifanya wanawake au wanaume kupitia dating sites.
Hivyo alisafiri mpaka Ghana ambapo biashara hii imeshamiri. Anasema inaanza Nigeria then Ghana.

Aisee ni biashara kubwa sana na sio rahisi rahisi. Kumbe wana script za nini waandike na nini waseme, unakuta ni kikundi, wana wataalamu wa graphics, wana mtaalamu wa IT yani crew.

Na kuna boss ambaye wanawaita finisher. Huyu yeye ndiye anakuwa anatafuta potential clients akishawapata anawasukumia sasa hawa wa chini wa deal naye ela ikitumwa naipokea boss hawa wa chini wanapewa % kidogo.

Wanakwambia zamani ilikuwa rahisi kuwascam watu kwasababu mambo ya video call yalikuwa hayapo now ngumu. So, mtaalamu wa IT unakuta ametengeneza system anatumia video ambazo wanasema nazo wanazinunua yule mtu akiwa anachat na mtu via dating site anaona huyo mtu kwa video anatype so anaamini kweli ni mtu really kumbe ni video imesetiwa.

Wakioiga calls za kawaida wanaongea wnaume ila wana tune sauti kuwa za kike, ila kuna muda wanainvolve na wanawake.
Kilichonishangaza zaidi wanatumia pia black magic. Mtu wakiona hatoi pesa, wanaprint picha yake inapelekwa kwa mganga anaifannyia mambo, wanadai ela inatoka hata mtu aambiwe anataka dollar 20000.

Pia wengine wana guilty consciousness kuna mmoja anadai alimscam mwanamama mmoja pesa akajiua, mwingine anasema alimscam mwanamama ela ya nyumba.
Wanadai wanaume ni rahisi kuwascam kuliko wanawake.

Pia akatoka hapo akawahoji victims, na imegundulika wanawake ndio wakiibiwa hujiweka wazi wanaume hata.
Sema kuna watu wa kuwatrack. So kuna mmoja alikuwa anataka kumscam mwanamama kumbe mwanamama ashamshtukia, so akaendelea playa dumb. Jamaa alikuwa kaweka picha ya mwanajeshi wa US anadai yuko middle east so akamwomba amtumie dola 4000 via bitcoin.

Mwanamama alikuwa ashamwandaa jamaa ea kuwatrack, akamdanganya ametuna yule jamaa alikuwa amemtumia link flani amtumie huyo scammer yule scammet alipoclick tu ile link jamaa akadaka location yake kuwa yuko ghana accra.

Hao scammer wanakwambia kuna watu wakubw Ghana ndo viongozi wa hiyo kitu na ukijaribu kuwafuatilia you can end up dead.
Trafficked by marian van zeller. Huyu mwanamama anatengeneza vipi di bomba sana
 
Back
Top Bottom