kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akifeli kimaisha anakuwa "sadist"

    Hali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani mbovu ya kiuchumi . Sasa kinachokuja kutokea hapa kila atakaekuwa anakutana nae na anapitia maumivu...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye majina ya asili Yao wanafanikiwa Sana kimaisha?

    Nimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi. Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JAMAA 👇👇
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamii yetu ina (Bullying) ya unyanyasaji wa kimaisha katika saikolojia si rahisi kuitafakari ila kwa sasa ndio inaonekana wazi kabisa

    Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k. Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Somo la historia ulilosoma miaka ya nyuma, ukiwa shule ya msingi mpaka sekondari na wengine mpaka chuo; limekusaidiaje katika kujikimu kimaisha?

    Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia. Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na kuangalia namna ya kututawala pamoja na kumiliki mali zetu. Na wengine kuuzwa kama mifugo ili kwenda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  6. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Wakuu waliotumia boom kutoboa kimaisha watupe uzoefu waliwezaje? Au it's impossible

    Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
  7. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KUJIKWAMUA KIMAISHA.

    Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs 400, 000 (Laki nne) pamoja na laptop, naombeni msaada wa ushauri nifanye mishe gani ili niweze...
  8. Lugano Edom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnaofanya kazi kwa vikundi tanesco mnatoboaje kimaisha??

    Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na mtu kupotea kimaisha

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na kupoteza kimaisha?

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako Ila spiritual life is real ...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Meme nyingi kwenye Mitandao ya Kijamii zinaandikwa na watu wasiojitambua kimaisha

    Mhadhara - 45: Asilimia kubwa ya MEME zinazosambaa kwenye MITANDAO YA KIJAMII na kupostiwa na watu kwenye STATUS UPDATES zinaandikwa na watu (vijana) wenye fikra finyu na wasiojitambua. Unapaswa kufahamu kwamba hakuna changamoto yoyote inayotatuliwa kwa kutumia MEME. Kila changamoto...
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Je, kutofanikiwa kimaisha ni dalili ya Laana? Watu wa fungu la kumi wanasemaje katika hili?

    Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali nk. Wenywe vipawa vya masuala ya imani yaani rohoni waje hapa kutufumbua macho. Asanteni.
  16. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina bahati mbaya na ma Ex, wengi wanavinyongo na hasira na mimi.

    kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani niweze kutoboa kimaisha kiwepesi zaidi

    Habari za mchana Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Dolodoma Jiji imetangaza Peter Manyika Sr Kuwa kocha wa makipa

    Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo. Chanzo: ligikuu.com Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki yako wa Kitambo Kipa wa zamani Peter Manyika aje kuwa nawe hapo. Na hata Kocha Mkuu wa Ihefu Aussems...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
Back
Top Bottom