kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FAJES

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kimaisha kwa kutumia kanuni ya 'Ubahili' mliwezaje, mbona mie nashindwa kabisa?

    Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata. Naitwa...
  3. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kimaisha Kati ya krismas ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita?

    Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Amini una akili yenye uwezo mkubwa wa kubuni wazo la kuweza kukusaidia kufanikiwa kimaisha

    Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yetu ya siku leo hata kurahisisha maisha katika eneo fulani lililokuwa na ugumu kwetu, basi nauona uwezo wa Mungu aliouweka ndani...
  5. mtoto mdogo sana

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa najihisi kama niko tofauti na kila mtu

    Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona. Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
  6. Nick J Vuitton

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonyanyuka tena baada ya kuanguka kimaisha

    Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020. Katika haya maisha kuna mambo tunapitia yanatuachia makovu,na hayatuachi salama baadhi yetu,mwaka jana 2020-2021 mwanzoni nilipitia anguko...
  7. Bonnie99

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

    Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari. Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
  9. Post M-alone

    JamiiForums Tanzania Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

    Wakuu habari zenu, Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
Back
Top Bottom