kimaadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili

    Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence Tuheshimu Imani Za Wengine Christmas hii tamu, watu wako na...
  2. Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  3. Jematangazo ya pombe katikati ya habari ni sahihi kimaadili?

    Ipo kero ambayo isiposemwa basi itaonekana ni utamaduni na desturi.Je uwepo wa matangazo ya pombe yanayowekwa na kuikatiza taarifa ni sawa kimaadili?
  4. Polepole amefanya uhalifu wa kiutumishi na kimaadili kwahiyo hatakiwi kujibiwa kwenye vyombo vya habari huyu ni mhalifu, afunguliwa kesi mahakama kuu

    Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi. Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
  5. Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

    Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi. Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa. Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru...
  6. Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

    Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako. Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa...
  7. Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili

    Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia nyimbo hizo kwa madai ya kuvunja maadili, baada ya kutazama kwa kina sikuona maudhui mabaya, akina dada...
  8. TAKUKURU akiniomba rushwa nishitaki wapi kwa uchafu huu wa kimaadili?

    Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja. Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao...
  9. Kufungia Twitter (X) Tanzania: Je, Ni Suluhisho Sahihi kwa Changamoto za Kimaadili?

    Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
  10. M

    Wadudu wa Arusha ni janga jipya la kimaadili nchini. Acheni kuhalalisha uwepo wao

    Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa...
  11. Kuvuja kwa video ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na uchawi ni kinyume na sheria

    Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu. Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
  12. Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  13. UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  14. Asilimia kubwa ya watoto kuanzia miaka 10+ wameharibika kimaadili

    ...
  15. N

    NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Habari wana JF! Ndugu zangu ninawaomba kila mmoja kwa wakati wake akiweza apite kwenye tawi lolote la NSSF nchini atake kupatiwa huduma yeyote ajionee jinsi pesa za walipa kodi zinavyotumika kulipa wapiga stori wanaojiita wafanyakazi. Nimewahi kufika tawi la Arusha mjini kwenye kitengo cha...
  16. SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  17. M

    Zanzibari kukataza wanaume kusuka sio jambo la kimaadili ila ni chanzo kipya cha uchumi

    Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili. Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari? Ninacho jaribu kusema...
  18. U

    Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

    Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini. 1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi 2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako 3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
  19. Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…