Kilombero District is a district in Morogoro Region, south-western Tanzania.
The district is situated in a vast floodplain, between the Kilombero River in the south-east and the Udzungwa-Mountains in the north-west. On the other side of the Kilombero River, in the south-east, the floodplain is part of Ulanga District.
According to the last census in 2002, the population of Kilombero District is 321,611
The main ethnic groups are Wapogoro, Wandamba, Wabena, and Wambunga and several others in small proportions.The area is predominantly rural with the semi-urban district headquarters Ifakara as major settlement.
The majority of the villagers are subsistence farmers of maize and rice. There are large plantations of teak wood in the Kilombero and the neighbouring Ulanga districts. In the north-west of the district, Illovo Sugar Company's sugar-cane plantations occupy most of the low lying area.
Position: Process & Recoveries Engineer
Reports to: Factory Optimization Manager
Location: Kilombero, Morogoro
Specific Duties and Responsibilities:
Contribute to the in-Country Production Optimization Strategy with the objective of effectively optimizing performance and cost of production...
Wakulima wa mpunga bonde la kilombero wanufaika na kupanda kwa Bei ya mchele ambapo kwa Sasa Bei ya mchele imefika elfu 1800 Hadi elfu 2000 kwa kilo
Hata hivyo wakulima wamesema kuwa wanafurahi Sana kupanda kwa Bei ya mchele kwani Bei ya Sasa inautofauti na Bei ya mwanzo kwani mwanzo...
MBUNGE MHE. NORAH MZERU ACHANGIA MILIONI 3 VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amechangia Miradi ya Kimaendeleo ya wanawake wa Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilombero Kata za Mang'ula A; Mang'ula B na Kata ya Kibelege Shilingi...
Kituo kikubwa cha daladala kilichopo Kilombero karibu kabisa na Soko la Kilombero jijini hapa kimegeuka kuwa kero kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kutokana na kukosekana kwa sehemu ya kujikinga mvua kwa abiria wanaotumia kituo hicho.
Muundo wa kituo hiki umejengwa kama uwanja wa mpira na sio...
Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.
Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri...
Jamaa yangu kati ya mwaka 2011 au 2012 aliwahi kuniambia kuwa kigogo mmoja (kwa sasa ni mstaafu) alisema laiti hoja ya kugawa nchi kimajimbo ingeletwa na mwanaccm yumkini serikali ingelichukua wazo hilo na kufikiri namna ya utekelezaji wake, lakini kwa sababu wazo lilitoka upinzani wala hawana...
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na familia ya Kambenga katika mgogoro wa ardhi Namawala.
Licha ya mkuu wa mkoa aliyepita Martin...
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji.
Akizungumza na Mwananchi...
MENEJA WA TARURA WILAYA YA KILOMBERO AONDOLEWA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuondoa kwenye majukumu yake aliyekuwa Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kusimamia kikamilifu miradi ikiwemo ujenzi wa Boksi Kalavati...
Habari Wakuu,
Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama ilivyo korosho Mtwara.
Sasa Basi nimekuja hapa kueleza changamoto tuzipatazo sisi wakulima hivyo kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.