kilio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  2. Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

    Inatia simanzi kwa kweli! Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing]. Hamas are no heroes. They are suckers and losers. Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some. What kinda hero puts their people through such...
  3. Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  4. Kilio cha Cwecwe: Tahadhari kwa Wazazi na Walezi

    Kisa cha mtoto wa kike Cwecwe, msichana mdogo wa miaka saba, ambaye amefanyiwa ukatili wa kingono, ni kesi nyingine katika mfululizo kesi ambazo zinaendelea kutuweka roho juu wazazi na walezi. Baadhi yetu tumeanza kujitoa ufahamu kuwa ulinzi wa watoto wetu ni jukumu letu la kwanza, na jukumu la...
  5. Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  6. M

    Mke wangu amenipa Responsibility bila kunipa Authority. Hiki ni kilio cha wanaume wengi kwenye ndoa

    Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu. Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu. Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
  7. Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  8. Wastaafu waangua kilio kwa kufukuzwa na kufungiwa geti, nyumba za TBA

    Familia mbili za Wastaafu wa serikalini ambao walikuwa wakiishi katika nyumba za Wakala wa majengo (TBA) jijini Arusha wanakumbwa na hali ya sintofahamu baada shirika hilo kuwafurusha kwa kutoa vitu vyao nje kwa madai ya kushindwa kulipa kodi. Familia hizo zinadai ni takribani mwezi mmoja sasa...
  9. M

    Kukamilika kwa bwawa la Mwl Nyerere kwapeleka kilio kwa mafisadi, Kwenye ukame huu wangewapiga watanzania mabilioni ya pesa

    Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi? Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
  10. Rais Samia Asikia Kilio cha Wananchi Barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe

    RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WANANCHI BARABARA YA SONI - BUMBULI - OROGWE Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe (km 77), kwa kiwango cha lami ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo...
  11. MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

    Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo. 1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka. 2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
  12. Kilio cha mtu mzima

    Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba. Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea! Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance Iko vizuri! Story Iko hivi! Tulitishiana na mdada baada ya kuona mienendo yake sio mizuri! Yeye...
  13. M

    Gusa, achia kilio kwao inatesa watu mpira unachezwa kwa swaga na magoli yanafungwa!

    Hii ni gusa achia kilio kwao maana anafungwa fountain gate lakini kilio kinasikika upande wa pili! Graph ya Yanga inapanda kwa Kasi ya kimondo Kila mechi unaona tofauti ya kimbinu, kiuchezaji, na kiufundi, Ile Kasi itaziumiza timu nyingi zitachakazwa! Kabla ya mechi hizi 3 goal difference ya...
  14. Kilio cha Mwijaku kuhusu kodi

    Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia utaratibu wa kulipa kodi kutokana na shughuli anazofanya. Mwijaku amenukuliwa akisema "Kwa siku ninaingiza...
  15. Kilio cha hukumu za ovyo chazidi kusambaa, Profesa Chris Peter Maina asema hukumu hazina viwango

    Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo...
  16. Wananchi Mabogini Moshi wapaza sauti tatizo la Maji safi na salama

    Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo. Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini . Hapa chini ni moja ya...
  17. Makuzi: Kilio cha 50 Cent kwa mwanaye

    Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa kumfundisha maisha.” Hivi sasa sina tena uhusiano mazuri na mwanangu Marquise. Ni hali ya kusikitisha...
  18. Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

    Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
  19. Kilio cha Wazayuni dhidi ya Netanyahu.Familia za wanajeshi waliovamia zilisusia hotuba ya Netanyahu kwenye sherehe

    Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
  20. Utumishi wamesikia kilio changu wamenirudisha nilipochagua

    Asante utumishi Nimeludishwa mkoa nilipochagua mwanzoni baada ya kulalamika kuwa wamenipangia Kagera ambapo sikuchagua. Ahsante sana utumishi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…