Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
Kilimo hai endelevu
- Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili.
- Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza uzalishaji wa muda mrefu, na kuzingatia ustawi wa jamii na uchumi.