kilimo

  1. JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kuitumia ardhi yetu itukomboe tofauti na ma settler katika kilimo kabla ya uhuru

    Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa eneo. Baada ya kuonyesha hati ulipewa miaka mitano uwonyeshe uwekezaji wa kudumu uluoufanya kabla ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi kinahitaji kufuga Mbwa wengi kuepuka maparachichi kukosa walaji

    Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
  3. JamiiForums Tanzania Unataka pesa? Ingia kwenye kilimo cha maboga

    Boga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo, ngozi yake ni nyororo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani. Katikati ya boga kuna mbegu na massa, Boga lipo katika jamii ya Cucurbita pepo. Asili yake Asili ya boga ni Amerika...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimo cha mihogo kinaokoa kipewe thamani zaidi

    Jirani yangu tumepakana viwanja, aliamua kupanda mihogo kwenye kiwanja chake akivuta nguvu ya kujenga. Akitafuta mbegu inaitwa kikombe. Juzi alipata mnunuzi aliyetaka Kuip ja kwanza. Alichimbiwa shina moja akaondoka. Alipoonja mihogo na kuridhika alirudi na kununua mihogo yote kwa laki nane...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

    Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Mashine ya kupandia nafaka

    Habari wanajukwaa, Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk. Seed Planter Video Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Nimesomea mifugo na kilimo

    Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355. MUNGU AKUBARIKI
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

    Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu. Anasema watu wanazunguka...
  9. JamiiForums Tanzania Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

    Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao. Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote kilimo kwake yeye sio kipaumbele kabisa. Anazungumzia ujenzi wa miundombinu kama madaraja, reli ununuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wote watageuka vibarua kwenye mashamba ya hawa mabepari

    Habari wna bodi Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji wanasubiri mvua ndo walime wale wawekezaji mahindi yao yaanaanza kuchanua. Kwa hali hii ikiendelea miaka...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo ndio wizara mbovu kuliko zote awamu hii ya sita, ni bora ifutwe tu!

    Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania WADAU WA KILIMO DODOMA MWENYE PLANTER YA KUKODISHA

    Kama mada inavyojieleza hapo juu ninajishughurisha na kilimo changamoto ni hiyo mashine ya kupandia mwenye nayo anione inbox tuelewane. asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  15. JamiiForums Tanzania Tupigie wakubwa kelele kuhusu Kilimo mpaka wasikie

    Hello JF, Kuna threads nyingi sana humu za kilimo, jinsi kilivyo na potential ya kubadilisha Tanzania ila wakubwa hata hawajisumbui....sasa naomba tujadili njia za kuwashtua...😥😊😊😭 Seriously nimeona Tanzania ina depend on Agriculture by 76%, hii inamaanisha massively uchumi wetu ni Kilimo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo na matumizi ya bidhaa za tumbaku upigwe Marufuku

    Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake? Kama tumepiga marufuku...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna chama cha wataalam wa kilimo?

  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  20. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

    Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…