kilimo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Njia Sahihi ya kumpima Bashe ni Exports and Imports katika mazao ya kilimo

    Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda. sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani...
  2. JamiiForums Tanzania Kilimo cha PDF - Parachichi

    Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kwenye mbegu wakati wa uwekezaji wa Kilimo

    Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu. Nimesikia kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo unakuja kutoka USA. Nashauri sana kwenye mikataba hii msikubali...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini hali ya kilimo chetu ni duni

    Kilimo katika nchi hii ni duni sana kutokana na serikali kutothamini wananchi wake hasa wengi wanaoishi vijijini. Sisi ndo wapiga kura lakini kamwe serikali yetu haina habari na maendeleo ya wakulima. Nitoe mifano michache tu kuelezea hii hoja yangu. Serikali imekuwa ikitoa miongozo mizuri...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  6. JamiiForums Tanzania Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

    Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana. Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa. TUNAKWAMA WAPI...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliosomea shahada ya mifugo, misitu, kilimo, kuitwa Afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo. Lakini waliosomea shahada ya elimu hawaitwi afisa elimu

    Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Wakulima wa nyanya mkoani songwe mbozi naomba tupeane ujuz
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia unajua kuwa wanaohujumu Kilimo ni hizi Benki za Biashara?

    Wana Jf Nimefanya sana harakati za kilimo chenye tija ili kuinua pato la taifa pamoja nami mwenyewe kupata fedha za kujikimu. Nilichokutana nacho ni kile buraha buraha za vijana wa benk wasio na ujuzi wowowte kuhusu kilimo. Katika kilimo kuna mazao ya muda mrefu kama michikichi, embe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wakati Dunia ikielekea katika vita vikuu vya tatu (WW3) Bajeti ya Kilimo iongezwe na itekelezwe kwa vitendo

    Wasalaam Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi? Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimo cha ndizi kitakachokupa matokeo bora

    Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame, weka udongo wenye mbolea kwenye karai na uwe unamwagilia maji kila siku. Baada wiki mbili au tatu...
  13. JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji kwa solar

    Habari zenu wakuu, Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora. So nipo mbele yenu wakuu naomba msaada wa kimawazo, kule kwetu moro tunalima mazao mengi Sana ya umwagiliaji...
  15. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mbinu za Kibiashara bado ni tatizo kwa Wakulima kufikia masoko Nchini

    WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Kilimo cha ngano cha kisasa kinachofanyika nchi Urusi

    Nimeikuta hii video mahali, inaonyesha ni jinsi gani Urusi inafanya kilimo cha ngano kisasa mno na kuweza kuzalisha kiasi kikubwa cha ngano katika eneo dogo sana.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ushirikiano wa kilimo ya China inainua wakulima wadogo barani Afrika

    Na Tom Wanjala Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

    Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti. Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…