Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

The Spirit of Tanzania

JF-Expert Member
Mar 7, 2020
539
930
Wana JF amani iwe nanyi!

Naomba kuuliza, hivi kwenye ekari 1 unaweza kuvuna mchicha kiasi cha pesa ngapi?

Yaani unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

Asanteni.
 
Nimekaa jobless sana,nataka kidogo nipambane na kilimo cha bustani,nina laki 2 kuanzia ekari 1 tu nipige kazi hiyo,naona dodoma kuna uhitaji wa mboga sana kuliko supply.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom