Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu.
Ni ubatili.
Ni ukatili,
Ni unyama,
Ni ujambazi.
Ni udikteta.
Ni dhuluma
Ni mauajai,
Ni unyang'anyi.
Je, Samuya atatawalal damu?
Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha?
Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.
Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.
Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima.
Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
Mambo tmya kusema watu wanaopingana na uchaguzi wa mwaka huu watekwe, ni ishauri mbovu. Wameteka hadi wamwchoka.. Mambo yamebadika. Unatuteka wengine wwakina sisi ndo kwanza wamezaliwa leo Muhimbili. Watapewa stori zetu kwenye makaburi yetu siku ya kusafisha. Kwamba tulimpiga Mzanzibari wa...
Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya.
Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao.
Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe).
N. B. Ndiyo maana marekani...
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete leo Oktoba 10, 2025 ameshiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Mabwana,
Najua mna furaha adui yenu aliyefichua mambo yenu amenaswa. Japo hakuna jipya kwa sababu tunaujua uchafu wenu, nawaomba chonde chonde.
Jitokezeni lau mkanusha hata kinafiki vinginevyo mjue. Your cover has been blown out. Kwa wanaume kweli, hili si jambo la kuacha upepo utulie...
Japo Kikwete anajulikana kwa kujitoa ufahamu, kwa mtama aliomwaga slowsliow sijui kama analala usingizi.
Japo twamjua ni jahiri mwenye masikio lakini asiyesikia, hili litakuwa limemtingisha. Yeye na genge lake, sijui watatumia utuli upi kujisafisha wasafishike.
Kikwete ni kiumbe wa ajabu...
Kikwete yuko kimya. Rostam yuko kimya! Samia kadhalika. Tunajua. Hawa ndiyo waliokamata na kuikamua nchi mbali na kuielekeza pabaya.
Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu. Wahusika, chonde chonde, jitokezeni mtuepushe na...
GT
Ulafi wa madaraka hujawahi kumwacha mtu salama japo kwa sasa samia naye anajilmbikizia mali ipo siku atakuja kulia peke yake.
Kumsikiliza kikwete lilikuwa ni jambo na uamuzi wa hovyo sana nyakati kama hizi. Kikwete ni FAILURE aliyepitwa na wakati samia na kikwete wanaenda kuangamia kwa...
Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo
Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya
1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai
Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni
2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki.
Watu...
Huu ni uwanja uliopo Msoga na mara nyingi sherehe za serikali hufanyika hapo ikiwemo Msoga marathon.
Kutoka hapo mpaka kwa Kikwete kwa mwendo wa gari ni dakika 2, kwa mwendo wa mguu dakika 10-20.
Kiuhalisia huu uwanja ujenzi wake hauna tija yoyote kwa wananchi maana hata huko Msoga kwenyewe...
Mnafiki Kikwete ndiye janga la taifa kabisa! katiba hatuna leo kwasababu ya hili janga. Hata Magufuli ukali wake na rushwa aliyopata ni kwasababu ya huyu janga. Samia sasa kuanzia aanze kumsikiliza huyu janga naye kawa janga!!!
Eti huyu ndiye kuangalia chaguzi na kuwa mwangalizi wa kitafia...
Huyu baba sio kawaida yake.
Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara.
Yuko wapi huyu baba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.