kikwete

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Kikwete aongoza Mahafali ya 55 ya UDSM - Vijana wanafuraha isiyo na kifani, sasa Serikali ta Mama Samia imewaandalia kazi za kumwaga

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini. Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Dkt. Maria Josephine Atunukiwa Shahada ya Heshima na Kikwete UDSM - Kazi na Utu

    Dkt. Maria Josephine Kamm ambaye ni Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Taasisi ya Mama Clementina, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutokana na mchango wake katika kuinua sekta ya Elimu hasa kuanzisha shule za wasichana katika mikoa ya Kilimanjaro...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na utawala wa sheria , Kikwete angekuwa jela kama Nicolas Sarkozy wa Ufaransa

    Hivyo tu yaani. Maana kuna mambo yanatugharimu kama taifa kwa sasa. Hili lilikuwa ni chaguo lake kama running mate wa baba Jesy.. kumbe kete za draft zilikuwa zinapushiwa kuanzia 10 to 20 years kwa ajili ya kutengeneza mazingira... Anyway siwezi kuwaambia kila kitu. Nyie ni watu wazima...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Samia si dini wala jinsia yake bali Samia mwenyewe

    Kuna watu unaoweza kuwaita wadini na maadui wa taifa wanaodhani kuwa rais Samia anachukiwa hasa anaposhauriwa au kukosolewa au kutopongezwa, kuabudiwa, na kuhadaiwa anapendwa. Hawa ambao naweza kuwaita wahuni na wajinga wa mwisho wanadhani Samia anachukiwa kwa sababu ya dini, eneo au jinsia...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete mbona uko kimya? Unalipwa mshahara baada ya kustaafu, hujasema kitu kulaani maafa!

    Viongozi wastaafu kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete bado kodi zetu zinalipa 80% ya mshahara wake alipo kuwa Rais. Kazi yake nini? Tulitegemea atoe tamko la kulaani maafa yaliyotukuta. Tulitegemea yeye kama Rais mstaafu amsahihishe mwenziwe Rais Samia katika namana bora kulendesha Taifa. Badala...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Samia na Kikwete wataamka lini toka kwenye usingizi wakabiliane na uchafu wao kisayansi badala ya kujitoa ufahamu?

    Tangu Samia CCM na Jakaya Kikwete walikoroge, wamegeuka mabubu na viziwi. Je, hili ndilo jibu au wanakoleza moto wasijue wataumia na kuumiza taifa letu? Tuwasaidieje? Eti Nchimbi anaongelea majadiliano na maridhiano. Nani anajadiliana na kuridhiana na nani wakati walio'vuruga' taifa letu ni...
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya Kikwete aondolewe kwenye orodha ya waangalizi wa chaguzi za SADC na AU

    Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana. Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu. Uku kwetu bila aibu...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete na CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea

    Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda. Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono. Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika...
  9. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kazi ya kulinda tunu ya nchi imemshinda

    Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano. Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na uhamiaji. Hawa watu wanajukumu la kuhakikisha Tanzania inabaki kama walivyoikuta na wengine mbele yao...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Samia alikwenda Kenya na Kikwete, je walikwenda peke yao au na mume wa Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi.
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Pongezi Samia na hongera Kikwete ila mmejua kututenda.

    Sina la kusema! Naamini kazi itaendelea hadi kieleweke. Kwa ujuha na uzwazwa huu, sina wasiwasi.Damu iliyomwagika itarudi na kulipiza kisasi.
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Damu, damu, damu, CCM, mikono na miili Samuya na Kikwete vimejaa damu atatawalaje damu damu damu?

    Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu? Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha? Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kikwete akutana na Uhuru Kenyatta, amuomba ushauri

    Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta. Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania. Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha. Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Kikwete ahitimisha na kufunga Kampeni za Wanu Hafidhi Kwa Kishindo kikuu Makunduchi Zanzibar

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima. Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Rais Samuya, hakutakuwa na Nywinywinywi". Kikwete alimuingiza chaka Rais Samia

    Mambo tmya kusema watu wanaopingana na uchaguzi wa mwaka huu watekwe, ni ishauri mbovu. Wameteka hadi wamwchoka.. Mambo yamebadika. Unatuteka wengine wwakina sisi ndo kwanza wamezaliwa leo Muhimbili. Watapewa stori zetu kwenye makaburi yetu siku ya kusafisha. Kwamba tulimpiga Mzanzibari wa...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Raisi mstaafu Kikwete, Mpango na Rostam kwenye msiba wa Raila Odinga

    Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tujue historia na makuzi ya viongozi wetu kabla ya kuwateua au kuwachagua urais

    Katika kuwachunguza na kuwatathmini viongozi waliowahi kuongoza taifa letu, kuna kitu nimeona. Historia na makuzi yao vina mchango mkubwa katika ubora au uhovyo wao. Mfano, Mwalimu Nyerere alisifika kwa kuleta uhuru, kujenga huduma za jamii na za kiuchumi thabiti kama vile miundo mbinu hasa...
Back
Top Bottom