kikwete

  1. Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  2. Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  3. J

    Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

    Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
  4. Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

    Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi. Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
  5. Kwanini hatujamsikia Jakaya Kikwete akitoa tathmini ya uchaguzi mkuu uliomazika nchini Kenya?

    Watanzania tulikuwa na hamu Sana ya kumsikia kiongozi wa Jopo la waangalizi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki, Jakaya Kikwete, ambaye aliongoza Jopo hilo, kwa upande wa Afrika Mashariki, mara tu baada ya kuridi nchini, kutoka huko Kenya, akitoa tathmini ya namna uchaguzi huo ulivyoendeshwa...
  6. Msaada wa maswali ya oral and written interview ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute

    Kwema? Jamani samahani kama kuna anaweza nisaidia maswali ya usahili wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete oral pamoja na written.
  7. Mahakama nchini Kenya yatupilia mbali hoja za Raila Odinga

    Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi. Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate...
  8. Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

    Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
  9. M

    Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

    Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho? au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa? Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
  10. Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kwa anayejua!!!
  11. Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti

    Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya. Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
  12. Kenya2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

    Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya. Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
  13. Mzee Kikwete anasifiwa kwa jambo lipi hasa la maana alilofanya nchi hii?

    Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka. Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona mtu wa aina yake na aliefanya mambo makubwa nchi hii lakini ukweli ni kwamba Kikwete kaliingiza...
  14. Kenya2022 Maafisa 8 wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya Wakamatwa

    MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya kukutwa wakifanya mkutano wa siri. Maafisa hao wamekamatwa katika kaunti za Homabay, Kisumu na Bungoma ambapo walikutwa wakiwa na baadhi ya wagombea wa nafasi tofauti katika...
  15. Huyu ndiyo Kikwete ambaye 'comfortably' ameweza kuwakutanisha 'mahasimu' Odinga na Ruto, ila mwaka 2020 alishindwa kuwakutanisha Magufuli na Lissu

    Halafu wenye akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna mtu bali kuna Profesa wa unafiki Tanzania nzima mnasema tuna chuki nae binafsi, tunatumika au ni wadini na wakabila. Mliokuwa wavivu wa kufikiri na mnaompenda mnamuita mwamba wa siasa na diplomasia. Hivi inaingia akili mwamba na bingwa wa...
  16. Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya na Raila Odinga

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya Kwanza, na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama vya...
  17. Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali

    Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022...
  18. Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  19. Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  20. Physiotherapist Officer II - 2 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    PHYSIOTHERAPIST OFFICERS II – 2 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To contribute ideas to primary and secondary prevention of functional disabilities; ii.To identify predisposing...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…