Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Yaan

Heb ngoja kwanza.

Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda...

Haijalishi wa kiume au wa kike.

Ila sasa, kwa niliyoyashuhudia leo wakati wa mchana nilitoka mara moja nikaelekea mahala fulani, duka fulani kutafuta kitu fulani.

Sasa nipo mule ndani natafuta huku na kule nikawakuta teenagers wa kike na kiume yaani inaonekana ndo damu inachemka.

Itakuwa lazima mwaka wa kwanza ama ndio vinataka ingia chuo..yaani vinabebishana hadi kero.

Tule twa kiume tuna gu panki ka jogoo. achachacha

Mara washikane mikono mara wanyanganyane simu ndani ya duka humo.. mara wa kike amshike sikio wa kiume

Kimoyo moyo nikasema hivi we mtoto wa kike, baba yako anajua unayoyafanya huku?

Walah Mungu akijaalia ..mtoto wangu wa kike ..ntaua mtu ...sitaki ujinga..yaani mim ntakua baba mnoko...yaan staki upu.mbafu kabisaa. Yaan sina la kusema

Nilichefukwa sana

Uzi tayar
(Ingawa namim nilichafua sanaaa enz zangu )
 
Kubana litoto sana sio fresh, siku akipata upenyo atapigwa miti ka mbwa then atakuletea home mimba ya mapacha wanne na mengineyo juu.
 
Back
Top Bottom