kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Legend Salama Jabir afunguka, " Hajawai tokea msanii wa kike hodari kumzidi Zuchu kwenye bongofleva"

    Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir. Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*. Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

    Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu Au mnasemaje masela ? Tuuze nchi tugawane mahela ? Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
  3. JamiiForums Tanzania Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

    Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini? ========================= 20/08/2026...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
  5. JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na dungadunga wa kike kwenye daladala

    Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi. Safari ilivyosogea...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  7. JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili ameingia cha kike huko aisee!! Wanyama wamecharukaa!

    Ni vita! Matusi yanaporomoshwa hukoo
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa maelewano yapo

    done
  9. JamiiForums Tanzania Askari wa kike kwenye maofisi hasa mabenki, ni dhaifu mno!

    Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma. Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mfamasia wa kike nipo Mwanza, natafuta kazi

    Habari JF, NAITWA ZAMDA IBRAHIM. Nina diploma ya pharmacy, Bugando College. Naishi mwanza Any chances pls, Available 24hrs PM ME
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM). Sasa jumamosi...
  12. JamiiForums Tanzania Vifaa vya saloon ya kike vinahitajika

    Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used mwenye navyo plz nichek 0783414538
  13. U

    JamiiForums Tanzania Swali Kutoka Kwa Mdau...JE Chemical Alistahili Kupata Tuzo ya Rapper Bora wa Kike Tanzania Mbele ya Rosa Ree?

    Nani Zaidi? Rosa Ree or Chemical
  14. JamiiForums Tanzania SOLD: Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa

    Done
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaonunua cartons za viatu spesho vya kike, msaada wenu.

    Habarini za wakati! Basi niende kwenye ombi langu, ninaomba kujua kuhusu viatu vya spesho vya wanawake na watoto wadogo husani zile simple tu. Nahitaji kujua bei zake kwa anaye chukua kwa cartons tu ambapo yeye atauza jumla kwa wale wauza reja reja, natamani nijue bei za hivyo viatu na maduka...
  16. JamiiForums Tanzania Ninatafuta rafiki wa kike Dodoma. Nimekuwa mpweke sana

    Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
  17. JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  18. JamiiForums Tanzania Belo za pochi za mitumba ya kike kwa jumla zinapatikana wapi?

    Mwenye kujua tafadhali, nahitaji kujua chimbo hizo kwa hapa bongo zinapatikana wapi?
  19. JamiiForums Tanzania Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

    JF Mahusiano👋 Nipo hapa kuuliza swali dogo tu. Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday? Nina Jambo langu hapa😂😂 NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

    Kulikuwa na suala la kupata ndege za kivita ili kupeleka Ukraine zikasaidie kupambana na Urusi. Nchi zote zikaingia baridi, halafu Marekani ikasema inafanya majadiliano na Poland ili ikubali kupeleka ndege zake Ukraine. Poland hakutaka kumkatisha tamaa Marekani, ila ikamwambia kuwa haiwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…