Leo nimekutana na dungadunga wa kike kwenye daladala

Leo nimekutana na dungadunga wa kike kwenye daladala

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,433
Reaction score
139,501
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.

Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga, wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.

Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
 
Huyo cha mtoto kabisa wengine wanakugeukia mble na kukumbatia kabisa, Tena ukimcheki huwezi amin
 
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.

Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yeyote.

Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
[emoji3059][emoji1787]
 
Back
Top Bottom