Natafuta Mpenzi wa kike Mwenye uwezo Kipesa (Financialy Stable)

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake :

Dini : yoyote ile sijali
Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja
Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara ningefurahi zaidi)
Umri : 25-35YRS
Umbo : Asiwe mnene (BONGE) awe wa kawaida
Rangi : Yoyote
Elimu : Yoyote (muhimu ujue kutafuta pesa na uwe nazo)
Kipato : Kiwe vizuri asiwe tegemezi kwa namna yoyote ile (Niko serious eneo hili) Sitaki maskini wala Mtu wa kipato cha kawaida ( Mtu alieimarika kiuchumi)
Mahali : Aishi popote pale ilimradi uwe ndani ya TZ

Sifa zangu

Dini : Mkristo (wa kanisani mara 1 kwa mwaka)
Mtoto : Nina 1
Kazi : Mfanyabiashara
Umri : 30+
Umbo : Mwembamba (nanyemelewa na unene ila napambana siwezi nenepa)
Rangi : Ukiniona utajua,sijuagi rangi
Elimu : Haina umuhimu,muhimu pesa zinaingia.
Kipato: income ya kawaida ila kwa siku sikosi 300k "plus" kama faida toka kwenye majumuisho ya biashara zangu zote.
Mahali : Sitaji maana hiki si kikwazo kwangu,uwezo wa kufika popote ndani ya TZ ninao.

Yangu ni hayo tu sina mengi zaidi Mungu atusaidie kwa wote watakaokua interested tuchekiane PM tu.Tusameheane kwani sitojibu comment ya mtu ila wote mtakaokuja PM kwa swali lolote nitajibu ila si kwenye comment.
 
Kikao kilichopita cha mabaharia naona umehudhuria safi sanaaa👍
"Usijaribu kumiliki demu anaye kuzidi shida"
Mabaharia ambao hamkuwepo daka hiyo itakusaidia
 
Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake :

Dini : yoyote ile sijali
Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja
Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara ningefurahi zaidi)
Umri : 25-35YRS
Umbo : Asiwe mnene (BONGE) awe wa kawaida
Rangi : Yoyote
Elimu : Yoyote (muhimu ujue kutafuta pesa na uwe nazo)
Kipato : Kiwe vizuri asiwe tegemezi kwa namna yoyote ile (Niko serious eneo hili) Sitaki maskini wala Mtu wa kipato cha kawaida ( Mtu alieimarika kiuchumi)
Mahali : Aishi popote pale ilimradi uwe ndani ya TZ

Sifa zangu

Dini : Mkristo (wa kanisani mara 1 kwa mwaka)
Mtoto : Nina 1
Kazi : Mfanyabiashara
Umri : 30+
Umbo : Mwembamba (nanyemelewa na unene ila napambana siwezi nenepa)
Rangi : Ukiniona utajua,sijuagi rangi
Elimu : Haina umuhimu,muhimu pesa zinaingia.
Kipato: income ya kawaida ila kwa siku sikosi 300k "plus" kama faida toka kwenye majumuisho ya biashara zangu zote.
Mahali : Sitaji maana hiki si kikwazo kwangu,uwezo wa kufika popote ndani ya TZ ninao.

Yangu ni hayo tu sina mengi zaidi Mungu atusaidie kwa wote watakaokua interested tuchekiane PM tu.Tusameheane kwani sitojibu comment ya mtu ila wote mtakaokuja PM kwa swali lolote nitajibu ila si kwenye comment.

Hujaweka sifa ya kwa mpalange,,,
 
Kila la heri don't forget ukimpata na Mimi nipigie pande Kwa mdogo wake believe when I say I won't let you down my niggaaaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom