Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima.
Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama.
Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU
Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke.
Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA
Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB).
Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa.
Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 16, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kuanza kujadiliwa.
Shughuli nyingine ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba...
Tarehe 11 April, jijini Dar Es Salaam huko Tanzania, kilifanyika kikao cha dharula kinachohusu hatma ya jeshi la SADC, Mission (failed) ya SAMIDRC.
Kikao hicho kiliwahusisha:
-General Rudzani Maphwanya (SA National Defence Force),
-General Jacob Mkunda (Tanzania People’s Defence Force- TPDF) na...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 15, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 utahitimishwa.
Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 14, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8.
Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
benjamin mkapa
derby
hatma
kariakoo
kariakoo derby
kikao
kucheza
mashabiki
mashabiki wa yanga
mkapa
nje
nje ya uwanja
uwanja
uwanja wa benjamin mkapa
wagoma
yanga
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo.
Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.