Hiki ni kisa cha kuhuzunisha, Mwenge Kijijini jijini Dar inalia, misiba ya watu wawili marafiki John Simba na Patrick a.k.a Masu a.k.a Masumbuko marafiki chanda na Pete.
Issue iko hivi, washikaji wote wawili walikuwa wakiumwa, John Simba alikuwa mgonjwa zaidi, na Masu alikuwa akiumwa pia ila...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti.
Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Maandalizi ya mazishi ya Sophia Mohamed (40) mkazi wa Kijiji cha Kipereza Kiteto akidaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango sambamba na mimea yake kuathiriwa na jua. Picha na Mohamed Hamad.
Kiteto. Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Mkoa wa Manyara, Sophia Mohamed (40) amejinyonga hadi...
Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI,
Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
Mtaa wa Mwenge umegawanyika katika mitaa miwili ndani ya kata ya Kijitonyama, wilaya ya Kinondoni . Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwenye kata ya Kijitonyama kuna mitaa miwili ya Mwenge. Mwenge Kijijini na Mwenge Nzasa.
Lakini Mwenge Kijijini tangu mwaka 1974 kuna lami barabara zote, Mwenge Nzasa...
Wakuu kwema!
Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno.
Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo Mbukinabe Ishmael Sawadogo.
Kinachomgharimu kwa sasa japo taratibu kinaanza Kuondoka ni Uzito...
Watanzania wenzangu ifike mahali tuwe tunafuatilia mambo Kwa kina na tusiwe benderea fuata upepo.
Leo hii kuna mfumuko wa bei ya vyakula tunaambiwa mkulima anafaidi.
Nasema hivi huu ni uongo Kwa asilimia 100. Mchana kweupe.
Mara zote wakulima huuza mazao Yao kipindi cha mavuno kipindi bei iko...
Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi.
Nimechukua...
Siku mbili tatu zilizopita, nilijaribu kutembelea vijiji kadhaa katika mikoa mitatu; nilichokutana nacho huko ni kama ifuatavyo:-
Vijana wamepungua vijijini
Kuna vijana wachache sana, waliobaki vijijini; nilikuwa natembea umbali mrefu sana bila kukutana na mtu/kijana.
Katika mita sq 2000 naweza...
Kijiji cha Muhoji ni moja kati ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Bugwema - vingine ni Masinono, Kinyang'erere na Bugwema. Kata hii ina Sekondari moja iitwayo Bugwema ambayo kwa sasa imeelemewa sana kwa sababu hizi:
Kidato cha Kwanza (Form I) cha mwaka huu (2023) kina jumla ya WANAFUNZI 362...
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la...
Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja mbuzi, ng'ombe n.k ili mradi kunogesha furaha ya kuwa pamoja na kujiandaa kukaribisha mwaka mwingine...
Wadau kwema !
Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo
Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime.
Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini...
Nawasalim wanaJF.
Kwema? Je umekulia mjini au kijijini?
Nimekumbuka enzi hizo maisha ya kijijini yalivokua nikaona nishee na wadau. Kwa tulioishi au kukulia kijijini kila mmoja anakumbukumbu ambayo akikaa anaweza kukumbuka kua mazingira ya kijijini ndo yaliwezesha hiyo kumbukumbu. Nikimaanisha...
Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro.
Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka na plata shavuni kama Nelly.
Basi walikuwepo watoto wakali sana ila mimi domo zege halafu sina...
Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji?
Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji.
Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.