kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Tuliozaliwa Dar na kukulia Dar, mara ya kwanza kwenda kijijini ilikuaje?

    Wakuu, Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya msemo "Mjini shule". Sasa tusikie kwa upande wa Dar na experience zao walivyofika kijijini kwa mara...
  2. Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi. 1. KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI...
  3. G

    Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

    kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape
  4. N

    Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Muwe na alasiri njema! ==== Moshi/Arusha. Sukari inakwenda wapi? Ni swali linaloumiza wengi, huku wakazi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza biashara hiyo, wakisema licha ya bidhaa hiyo kuingizwa sokoni, bado bei imesimama kati ya Sh3,500 na Sh4,000...
  5. Dkt. Mwigulu ataka barabara za uhakika kijijini

    Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati wa kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuangalia namna ya kutengeneza barabara za zitakazodumu muda mrefu maeneo ya vijijini. Mwigulu amesema hayo alipojibu hoja ya dharura ya mbunge wa Rorya, Jafar Chege aliyeomba mwongozo...
  6. M

    Kama hivi ndivyo unavyoishi mjini ni bora urudi tu kijijini ukaishi kulingana na kipato chako

    KAMA HIVI NDIVYO UNAVYOISHI MJINI NI BORA URUDI TU KIJIJINI UKAISHI KULINGANA NA KIPATO CHAKO. Yawezekana hii isiwe makala nzuri kwa waishiyo mijini huku wakijisifu kila siku na kuwabeza waishiyo vijijini ila ukimakinika na kuchukulia chanya basi kuna jambo utajifunza. Kuishi mjini ni ndoto ya...
  7. N

    Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  8. Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  9. M

    Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  10. RC wa Dar Chalamila: Anayekerwa na Foleni za Dar ahamie Kijijini akalime

    Tafadhali Rais Samia ikikupendeza kwa Siku za baadae ukiwa unafanya UTEUZI wa Viongozi mbalimbali uwe unanikaribisha Mpiga Kura wao na Mwanao Kikatiba niwe nakuja kuwapima kama kuna Wavuta Bangi na labda waliowahi kuugua Uwendawazimu wakiwa Udogoni / Utotoni. Sitokuangusha katika hili...
  11. Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini. “Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado...
  12. Hata hii mbinu ya kupata pesa ikikushinda, rudi tu kijijini ukalime

    Elimu ya bure kabisa hii; Ingia Mabibo sokoni ama Buguruni. Kapoint matikiti manne ya elfu nne nne. Kila tikitiki likate vipande 40 vya Tsh. 200 @1. Kwa kila tikiti itatoa gross amount ya 8,000. Ukitoa mtaji wa 4,000 @1, unabaki na faida ya 4,000. Kwa tikiti zote nne = 4,000 × 4 ~ 16,000...
  13. A

    Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko

    Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa...
  14. Hatimaye makazi ya baadhi ya wakazi wa Kijijini Mbezi Beach B (Dar es Salaam) yavunjwa

    Serikali imetekeleza agizo la kubomoa makazi yasiyo halali katika eneo maarufu la Kijijini katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Wilaya baada ya siku 14 za kuwataka kuhama kwa hiari kupita muda mrefu, huku...
  15. DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

    Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe. Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa'' Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay...
  16. Dar es Salaam: Wakazi Kijijini Mbezi Beach B waigomea Serikali kuhusu kuhama eneo hilo

    Wakazi wa eneo la Kijijini lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam wamekahidi kuhama eneo hilo kama ilivyoamuliwa na Serikali. Wakazi hao walipewa siku 14 za kuhama eneo hilo kwa hiari na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Matambule. Mkuu...
  17. R

    Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

    Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala. Tofauti ya...
  18. Dar es Salaam: Wakazi wa Kijijini Mbezi Beach B wapewa Siku 14 Wahame

    SERIKALI imetoa muda wa wiki mbili kwa wakazi wa eneo la Kijijini Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kuwa ufikapo muda huo wawe wameondoka eneo hilo kwa hiari yao. Agizo hilo limetolewa mwishoni wiki iliyopita na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad...
  19. Kwanini Graduate huwezi kutajirika kwa kukimbilia kijijini. Ni kujizika

    Utajiri ni watu. Ni rahisi kutajirika ukiwa kwenye watu wengi kuliko ukiwa mwenye porini eti unatafuta maisha. Vijijini ni kwenda kuchukua mali ili uzitele kwa watu wengi utajirike. Ukiwa msomi graduate halafu ukakata network na kukimbilia kijijini porini eti kutafuta maisha na utajiri...
  20. Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

    Kwema Wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini? Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…