kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Utahamia lini kijijini?

    Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana. Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima. Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukiishi kijijini unafikiri waliopo mjini wametoboa. Vijana njoeni mjini tugombanie fursa

    Watu wa kijijini au wilayani zaidi ya 4 nimekosana nao kwasababu ya issue za pesa. Mtu wa kijijini unaweza kumuahidi may be Jumatatu takutumia. Utatumia kauli zile ambazo possibility yake si 100% lakini yeye Jumatatu mapema anakutext akitarajia pesa. Hivi mtu unashindwa kufikiri kama...
  6. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Je bado wanawake wa Kijijini wanadumu kwenye ndoa za mjini?

    Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja. Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na...
  7. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikusuma kuondoka , kijijini, mkoani na kukimbilia mjini, au nyumbani kwenda kupanga ghetto wazee wakujilipua tubushane

    Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda kidato Cha kwanza ni watu wawili au mmoja mnaobakia kama mzazi uwezo hana wakukupeleka shule...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

    Katika jitihada za kuonesha ubaya wa tume inayoitwa huru, Lema anatoa somo maridhawa ili watu hata wa level ya chini wamuelewe. Nimeipenda sana
  9. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kuja mjini?

    Habari wakuu. Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini? Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wazee ambao umri umeenda na hawajajipata Dar es Salaam The best and wise choice ni kurudi kijijini.

    Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya. Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huku kijijini kwetu,wake zake wawili vicheche, kila mama anamtoto amezaliwa nyumbani, watoto wakiume wanachuja "nafaka", aisee.

    Marafiki zake wanamchapia wake zake, Mabinti zake ni sukari ya mji, vijana zake akiwatafutia vibarua wiki moja wanarudi maskani kuchuja nafaka, hakika huyu msukuma ana balaa, sasa sijui ni usimamizi mbovu wa familia yake au wanawake zake ndio wanamharibia watoto All in all usiombee hii ikikute.
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kahiji kwenye kaburi la babu yako kijijini kwenu acha kwenda Makka na Israel kuhiji kwa mababu wa wenzako

    Africa, Africa, Africa acha kupoteza mamilioni ya shilingi kufanya huu ushirikina kwa mababu wa wenzako huko Israel, Makka na Madina. Nenda kahiji kwa babu yako kijijini kwenu. Au acha kabisa kuhiji maana kuhiji popote pale ni ushirikina tu. Wazungu na waarabu wakakudanganya kuwa kuzuru kaburi...
  13. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Sitawasamehe Wenye Mamlaka kwa Kuruhusu Wawekezaji wa Kamari wa Kichina Kuwekeza Mashine Zao za Kamari Kijijini Kwetu Ngangu

    Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho. Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
  14. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Pot ya watoto wa kijijini! Shikamoo akina mama!

    Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  16. Kumi4

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya ya Kijijini Butata Yakaribia Kufunguliwa

    SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m) Sekondari hizo mpya zinajengwa: (i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima (sekondari ya pili ya kata...
  19. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
Back
Top Bottom